Swali: Speech translation

Bst1

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
324
Reaction score
164
Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kimataifa na hata ya hapa nchini, hutuba inapotolewa huwa kuna ambao wanavaa headphones ili kuweza kupata tafsiri ya hutuba, swali , je? kunakuwa na kifaa maalum cha kutafsiri au ni watu ndo wanatafsiri?Naomba kuelimishwa.
 
Huwa kuna watu ambao wapo katika chumba maalum wanaweza wakawa hata 10 au zaidi kulingana na lugha za wasikilizaji. Watu hawa kazi yao ni kukalimani kile kinachosemwa. Sasa wale wasikilizaji kwenye meza zao wanavaa headphones na kuchagua lugha ambayo wangependa kusikiliza. Kwaiyo wenyewe wanakua wanamuangalia msemaji lakini hawasikii sauti yake bali wanasikia kinachosemwa na yule anayefanya ukalimani.
 

Asante sana
 
ila siku hizi technology imekuwa, now skype ina real time translation unampigia video call mchina anaongea kichina na wewe unamsikia kingereza

hii iko vp mkuu kuna settings unatakiwa ufanye au inatranslate automatic kulingana na region uliopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…