Jibu ni NDIO, reli ilikuja Tanzania kabla ya hiyo alama......reli ilikuwepo tokea enzi za zilee....ila hiyo alama imekuja na simu hivi karibuni.
Kwa kiingereza haiitwi alama ya reli, inaitwa hash sign au number sign. Ila kwa hapa kwetu imefanana na reli kwa sababu tuliijua reli kwanza kabla ya alama hii.