It's never wrong bro, Ndivyo dunia nzima inavyoyachukulia maswala yote mazuri na mabaya. Osama hakuwa peke yake wala sio mwanzilishi wa Al Qaeda, Abraham Lincorn sio alokuwa na hoja ya Uhuru wa Marekani na wala hakuwa peke yake. Wewe si ajabu waendesha gari hapo unamjua aloivumbua? au unasifia Toyota yako! Na hata Uhuru wetu ulianza kuzungumziwa na wapiganaji wakiwa Barma lakini leo nani anawajua? na kibaya zaidi hata dhumuni la Uhuru wetu haswa hakuna mtu anayekumbuka!