silent_soldier
Senior Member
- Aug 10, 2015
- 193
- 62
Naomba kujua lini TCU watapanga vyuo?
Na pia naomba kujua Pia kama deadline ya KuApply imetoka?

Je,unaweza ukajigaramia mwenyewe kwa first year alafu mwakani uka upply mkopo

Huwezi pata mkopo.