Sahihi kabisa, zinapokutana continental crust na oceanic crust, lazima kutokee SUBDUCTION kwa vile continental plate ni nzito huwa inaielemea oceanic plate ambayo ina subduct (inabonyezwa chini/kandamizwa/kudidimia chini) .. hapo kwenye subduction point ndio huwa prone na earthquakes, volcanic eruptions n.k.. maeneo ya japan na indonesia wamepitiwa na hii phenomena ndio maana visiwa vya java ni kawaida kuexperience matetemeko na rapid volcanic eruptionsMkuu, sorry kidogo, na mimi Geograph nilisoma zamani kiasi..
Hoja yangu ni kuwa, kama oceanic plate is denser than continental plate, hii ndio imepelekea oceanic plate kuzama (yaani kuwa chini ya maji), Je huoni kuwa hoja ya mtoa hoja kwamba continental plates zina elea juu ya maji( maana na nyepesi, hazijazama kama oceanic plate)
Ni sahihi kwamba Continental Plate zinaelea juu ya maji!?Sahihi kabisa, zinapokutana continental crust na oceanic crust, lazima kutokee SUBDUCTION kwa vile continental plate ni nzito huwa inaielemea oceanic plate ambayo ina subduct (inabonyezwa chini/kandamizwa/kudidimia chini) .. hapo kwenye subduction point ndio huwa prone na earthquakes, volcanic eruptions n.k.. maeneo ya japan na indonesia wamepitiwa na hii phenomena ndio maana visiwa vya java ni kawaida kuexperience matetemeko na rapid volcanic eruptions
Oceanic crust ni nyepesi, continental crust ni nzito
Mkuu dunia ina layer tatu(internal structure of the earth)Kama dunia imegawanyika katika vipande viitwavyo plates, je katika mpasuko huo,kwa mujibu wa nadharia ya "continental drift", kuwa dunia imezungukwa na bahari, kwahyo kila kipande kinaelea kwenye maji au mpasuko ulitokea juu tu ila chin ya bahari kuna base inayo shikiria kila plate?
Msaada kwa anayeweza kuwa na uelewa juu ya swali hlo
Subduction inatokea baada ya convergence mkuu Kati ya plate mbili ambazo hazina sifa sawa yaani moja nzito(Oceanic) na moja nyepesi(Continental) na subduction Inatokea baada ya Oceanic Plate kuisogelea Mantle Strata....kwahiyo Assumption yako sio sahihi mkuuSahihi kabisa, zinapokutana continental crust na oceanic crust, lazima kutokee SUBDUCTION kwa vile continental plate ni nzito huwa inaielemea oceanic plate ambayo ina subduct (inabonyezwa chini/kandamizwa/kudidimia chini) .. hapo kwenye subduction point ndio huwa prone na earthquakes, volcanic eruptions n.k.. maeneo ya japan na indonesia wamepitiwa na hii phenomena ndio maana visiwa vya java ni kawaida kuexperience matetemeko na rapid volcanic eruptions
Oceanic crust ni nyepesi, continental crust ni nzito
Pia sio sahihi kua Continental Plate ndiyo nzito Ila unapotosha....ingekua nzito isingeweza kukaa kuanzia 0-17 km Ila Oceanic ni Nzito ndiyo maana iko chini Sana kuanzia 17k mpaka 50 km....Sahihi kabisa, zinapokutana continental crust na oceanic crust, lazima kutokee SUBDUCTION kwa vile continental plate ni nzito huwa inaielemea oceanic plate ambayo ina subduct (inabonyezwa chini/kandamizwa/kudidimia chini) .. hapo kwenye subduction point ndio huwa prone na earthquakes, volcanic eruptions n.k.. maeneo ya japan na indonesia wamepitiwa na hii phenomena ndio maana visiwa vya java ni kawaida kuexperience matetemeko na rapid volcanic eruptions
Oceanic crust ni nyepesi, continental crust ni nzito
Upo right kwenye maziwa na mito bt kwenye bahari ongeza nyama lasivyo ur wrongkwanza lazma ujue kuwa bahari ilikuja baada ya mpasuko(kutokea kwa mabala) ,kulingana na mpasuko huo ambao ulitokana na mgandamizo wa aridhi ndipo maji yakapenya kwenye hio mipasuko Leo hii ndo tunaita bahari,maziwa ,mito nk,pia ardhi haielei juu ya maji ispokuw maji yapo juu ya ardhi,
Nadhani dunia Ina layer mbili tu mkuu na kila layer mbili Ina matabaka matatu...Ila uko sahihi maelezo mengineMkuu dunia ina layer tatu(internal structure of the earth)
=>Layer ya kwanza na ndio iliyo nje inaitwa crust, hii imegawanjika katika sehemu mbili, kuna sial ambayo ipo nje kabisa hii inawakilisha mabala yote na kuna sima hii inakua chini ya sial na moja kwa moja inaenda kua ocean floor.
=>Kwahiyo katika hizo layer tatu crust, mantle na core layer moja tu ndio inatengeneza mabala na bahari ambayo ni crust.
=>Hizi layer nyingine hazijapasuka na maji ya bahari hayafiki huku, hata ikipasuka itasababisha volcano kwasababu ya molten material zilizopo kwenye hizo layer.
=>kwa material yaliyoumba dunia solid, semi-solid na maji maji(bahari) ndio inaelea na mpasuko uliishia juu juu huku kwenye earth's crust.
Tanzama kielelezo hapa.
View attachment 1940484
ShukraniMore thanks napata concept
Mimi mwenyewe limenijia swali iyo asilimia 75% ya maji ni dunia nzima au ni ya kwenye crust tu!?Mkuu dunia ina layer tatu(internal structure of the earth)
=>Layer ya kwanza na ndio iliyo nje inaitwa crust, hii imegawanjika katika sehemu mbili, kuna sial ambayo ipo nje kabisa hii inawakilisha mabala yote na kuna sima hii inakua chini ya sial na moja kwa moja inaenda kua ocean floor.
=>Kwahiyo katika hizo layer tatu crust, mantle na core layer moja tu ndio inatengeneza mabala na bahari ambayo ni crust.
=>Hizi layer nyingine hazijapasuka na maji ya bahari hayafiki huku, hata ikipasuka itasababisha volcano kwasababu ya molten material zilizopo kwenye hizo layer.
=>kwa material yaliyoumba dunia solid, semi-solid na maji maji(bahari) ndio inaelea na mpasuko uliishia juu juu huku kwenye earth's crust.
Tanzama kielelezo hapa.
View attachment 1940484
Mimi nimebase kwenye internal structureInternal Layer of the Earth
*Crust
*Mantle
*Core
External Layer of the Earth
*Atmosphere
*Hydrosphere
*Biosphere
NB:na kila layer au strata pia Ina layer zake
Mkuu dunia ina layer tatu(internal structure of the earth)
Safi kijana uko vizur sana jitahidi ulete maswali kama haya ili kujenga ubongo zaidi nadhani majibu umeyapataKama dunia imegawanyika katika vipande viitwavyo plates, je katika mpasuko huo,kwa mujibu wa nadharia ya "continental drift", kuwa dunia imezungukwa na bahari, kwahyo kila kipande kinaelea kwenye maji au mpasuko ulitokea juu tu ila chin ya bahari kuna base inayo shikiria kila plate?
Msaada kwa anayeweza kuwa na uelewa juu ya swali hlo
Point of correction oceanic crust or plate is thicker and denser than continental crust but oceanic crust can be subducted (destroy)Sahihi kabisa, zinapokutana continental crust na oceanic crust, lazima kutokee SUBDUCTION kwa vile continental plate ni nzito huwa inaielemea oceanic plate ambayo ina subduct (inabonyezwa chini/kandamizwa/kudidimia chini) .. hapo kwenye subduction point ndio huwa prone na earthquakes, volcanic eruptions n.k.. maeneo ya japan na indonesia wamepitiwa na hii phenomena ndio maana visiwa vya java ni kawaida kuexperience matetemeko na rapid volcanic eruptions
Oceanic crust ni nyepesi, continental crust ni nzito
Asilimia 75 ya maji ipo kwenye Crust ndiyo...Mimi mwenyewe limenijia swali iyo asilimia 75% ya maji ni dunia nzima au ni ya kwenye crust tu!?
Kama ni dunia nzima basi kunauwezekano tulipigwa. Au uelewa wangu mdogo, wadau mnasemaje hapo?
Unachanganya continental Drift theory na plate tectonics theory.Kama dunia imegawanyika katika vipande viitwavyo plates, je katika mpasuko huo,kwa mujibu wa nadharia ya "continental drift", kuwa dunia imezungukwa na bahari, kwahyo kila kipande kinaelea kwenye maji au mpasuko ulitokea juu tu ila chin ya bahari kuna base inayo shikiria kila plate?
Msaada kwa anayeweza kuwa na uelewa juu ya swali hlo
Bahari ya ilikuwepo ikiizunguka Pangaea kabla ya drift.kwanza lazma ujue kuwa bahari ilikuja baada ya mpasuko(kutokea kwa mabala) ,kulingana na mpasuko huo ambao ulitokana na mgandamizo wa aridhi ndipo maji yakapenya kwenye hio mipasuko Leo hii ndo tunaita bahari,maziwa ,mito nk,pia ardhi haielei juu ya maji ispokuw maji yapo juu ya ardhi,
Umenikumbusha lecture mmoja pale COES-UDOM Dr Mishra palikuwa panachimbika Sana hususani uku kwenye plates na theory zake.Continent and ocean zina plates continental plate and oceanic plate, continental plate inaunda mabara while oceanic plate inatengeneza ocean flow ila by look of thing Kuna mambo unachanganya sana especially when it comes on matter of convergent zone Kuna plate Moja lazima I sink Kwa nyenzake na obviously ocenic plate Ina sink because ocenic plate is thin