Swali;nani rais ajaye wa tff?

Swali;nani rais ajaye wa tff?

Seif al Islam

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
2,156
Reaction score
640
Naomba wale wanaofuatilia kwa makini uchaguzi wa tff watupe updates za nani amejipanga viti kumrithi tenga.ikiwezekana aanzishe mtu thread ya kura ya maoni humu jf kati ya wagombea wenye mvuto zaidi.
 
Kujua raisi wa TFF ajae ni rahisi, kwani kuna washindani wawili tu (kwa mujibu wa vyanzo mbali mbali) ambao ni Jamal Malinzi na Nyamlani. Kiuhalisia wako watatu lakini huyo mmoja (nimemsahau jina) anaonekana ni msindikizaji kwa sababu hajui FITNA ZA MPIRA. Ninasikitika sana kuona tunaelekea Enzi za FAT. kwa sababu hao wote hawana jipya, wanaendekeza fitna na kugawa wanachana. Walikuwa busy sana kisimika watu wao wakati wa uchaguzi wa mikoani, wamemwaga fedha nyingi sana (siwezi kuwa na ushahidi wa kimahakama) ili kuweka watu wao ambao baada ya kuchaguliwa kwenye urais wawe wanawatumikia na sio kutumikia TFF. nasikitika.
 
Jamali Malinzi, huyu jamaa kiboko. Halafu hana shida na pesa ya TFF
 
Nyamlani anonekana kupata sapoti kubwa ya wakubwa
 
Makamuzi anayo nafasi kubwa ya kutwaa urais..japo yeye amekuwa hatumii rushwa.
 
Wote hawafai hao... !! na mmoja anafadhiliwa na fisadi Manji, na yule bingwa wa kukamatwa na madawa ya kulevya !!
 
Urais wa TFF haupatikani kwa njia ya guess work za jf ni wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF tu ndio wenye maamuzi ya mwisho tarehe 24/2/2013 .Ubashiri wa aina yeyote hauna maana hata kidogo.
 
Urais wa TFF haupatikani kwa njia ya guess work za jf ni wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF tu ndio wenye maamuzi ya mwisho tarehe 24/2/2013 .Ubashiri wa aina yeyote hauna maana hata kidogo.

umesoma kichwa cha habari kwa umakini ama umekurupuka,ama ndo hasira za kunyimwa unyumb na mke wako unaziamishia kwenye post za watu?
 
Back
Top Bottom