Swali muhimu kwa Waseja

Nyumba...mademu watakuja wenyewe ...nitatusua free bila ata kuoa
 
Km unakaa nyang'andu kama mimi,gari muhimu kwanza.
 
Mi nadhani pesa kwanza........mengine baadae........
 
Ndoa first. Mungu alimbariki adamu baada ya kumleta hawa. Neno linasema akawabariki. Chunguza watu wakishaoana (ndoa takatifu) baada ya muda mfupi hua wanabarikiwa so ndoa ni ya muhimu kuliko vyote

hadithi za kusadidika
 
Nyumba ni lazima
Ndoa ni m uhimu saaaaaaana
Gari ni muhimi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…