hata mini nilikuwa najiuliza sana hili swali, lakini naweza kukubali kuwa hizo mb 400 ni kwa watumiaji wa simu, kwa sababu line nnayo tumia kwenye modem baada ya kuitoa na kuihamishia kwenye simu, nilitumiwa sms ya kujiunga na bundle ya 400mb kwa 2500. Na hapo ndio ukawa mwanzo wa kula maisha na hii cheap rate kwani inakubali kwenye modem pia.
Anyway so long as inatupatia unafuu wa kutumia neti sioni kama kuna haja ya kuhoji sana.