Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
'Baada ya kupiga Kura unatuambia tuondoke wakati baaada ya kuhesabu msimamizi anatakiwa kutoka nje na kutangaza matokeo, Je atawatangazia akina nani wakati hakuna watu??????
Acha ubishi ukimaliza ondoka
Kazi kweli kweliSawa na hicho ndio unachokitaka poa utaweka historia kubwa sio mbaya inonyesha mtakua wengi uchaguzi huutakaoweka historia.
'Baada ya kupiga Kura unatuambia tuondoke wakati baaada ya kuhesabu msimamizi anatakiwa kutoka nje na kutangaza matokeo, Je atawatangazia akina nani wakati hakuna watu??????
Acha ubishi ukimaliza ondoka
mi siondoki wanipige risasi ya utosi so heshima ya kazi