Swali mkutano mmoja ni shiling ngapi?

Swali mkutano mmoja ni shiling ngapi?

boyson onlye

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
1,109
Reaction score
1,398
Naomba kujua kila chama kinatumia sh. Ngapi kwa mkutano mmoja wa kampeni kwa yule anayejua
 
Inategemea ni wa chama gani!
Vyama vinatofautiana ktk staili ya ushawishi, mfano:
1. kusafirisha wasikilizaji kwenye kampeni.
2. kutoa rushwa kwa wasikilizaji wa kampeni.
3. Kuonga wasanii ili wasikilizaji waje kwa wingi.
4. kuwa na wapambe kibao wa kuporomosha matusi kabla ya mgombea kunadi sera.
5. nk.
 
Unategemea mkutano wa Hashim Rungwe na wa Lowassa utumie gharama sawa?
 
Iko wazi kuwa mikutano ya CCM inaratibiwa kwa gharama kubwa sana kulinganisha na ya CHADEMA/UKAWA ingawa Unaweza kuta wahudhuriaji ni wengi zaidi kwa UKAWA!

Upande mmoja watu wanaenda kwa hiari wakati upande mwingine ni either wanahongwa, wqnasombwa kwa malori na ma-uda au wanafuata kuwaona kina Diamond and the like!???
 
Back
Top Bottom