SWALI MAKINI: Kati ya UKAWA na CCM nani mwizi wa kura?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,161
2,000
Ili kujaribu kuweka sawa baadhi ya maneno ambayo yamekua yakisemwa maeneo mbali mbali nchini kwenye duru za kisiasa nchini juu ya chaguzi mbali mbali,nauliza hivi katika kila uchaguzi kumekua na wizi wa kura kweli lakini anayeiba kuara hasa ni nani? Unaweza kushangaa kesi nyingi za kupinga matokeo ni kulalamika kuibiwa kura, sio Chadema,Sio CCM, Sio CUF,sio ACT,sio NCCR wote wanalalamikiana!
Je, kwa maswali haya kulingana na matukio ni nani mwizi wa kura tukiweka mbali ufundi wa kisheria unaotumika kuhalalisha haramu kua halali ambayo nia matendo ya kishetani?

1/ Kwa historia ya uchaguzi uliopita nani alikamatwa na masanduku ya kura?Ndiye mwizi?

2/Kwa historia ya uchaguzi uliopita ni nani alihojiwa PCCB? kwanini? Siye mwizi?

3/Kwa historia ya uchaguzi uliopita ni nani alibanwa sana na vyombo vya dola? Ni kwanini?

4/Chama tawala ndicho chenye dola, chama ambacho serikali yake inateua kila mkuu wa chombo cha Dola, je, dola inaweza kukubali mpinzani wa chama tawala atawale? Kwa sababu gani hasa?

5/Mkuu wa mkoa na wilaya ni kada mtiifu wa chama tena zaidi ya ukada, Je, yuko tayari kukubali mpinzani wake kutawala? Kwa sababu ipi hasa?

6/Hivi kweli katika kila mlalamikiwa au anayepingwa mahakamani ndiye mshindi wa uchaguzi kweli? hakuna aliyeshindwa?

7/Kwa majibu aliyokua akijibu Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Bahati kwenye kesi moja huko,hivi hata mtoto mdogo wa chekechea atashindwa kujua nani ni mwizi wa kura?
 
swissme

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
13,658
2,000
maitarahamwe yaliponea chupuchupu lakini mziki wa UKAWA waliucheza.

swissme
 
Franco Zetta

JF-Expert Member
Nov 3, 2014
1,675

Mbona lita kuwa swali rahisi tu na kata kutajia ChiChiem.
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,745
2,000
Mkuu angalia zanzibar ndiyo utaujua ukweli, uchaguzi halali ulifanyika wajumbe, wabunge na madiwani wakapewa mpaka Vyeti vya ushindi lakini kilichokuja kutokea dunia nzima inajua, kwa hiyo ccm sio wezi tu lakini pia wanapora ushindi
 
Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,821
2,000
UKAWA wamemchukua mwizi mkuu wa kura. Kwa hiyo UKAWA ni wezi,wazandiki, vigeu geu, malofa na manyumbu.
 
MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,161
2,000
UKAWA wamemchukua mwizi mkuu wa kura. Kwa hiyo UKAWA ni wezi,wazandiki, vigeu geu, malofa na manyumbu.
Kwa mtu unayejitambua huwezi kukimbilia matusi badala ya hoja, wengine humna hata sifa za kua humu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom