Swali: Maji ya bahari huenda wapi?

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
4,713
8,201
Dah! Ni miaka mingi ili swali huwa nikiuliza huwa nakosa majibu sahihi kwamba maji ya baharini huwa yanaenda wapi maana kuna muda huwa yanaondoka na kuna muda huwa yanarejea
Je huwa yanaenda wap?
 
mbona Rahisu sana maji ya bahari yenyewe hutokana na na vyanzo vingi kama mvua na mito ila maji ya bahari huondoka kipindi cha jua kali kwa mtindo wa mvuke na kwenda kuunda mawingu ambayo husukumwa na upepo na kwenda nchi kavu napo hunyesha tena kama mvua na kuingia kwenye vyanzo
 
Ok kwa kifupi tu....tunaamin kwamba dunia inazunguka means tunatofautiana masaaa kat ya nchi na nchi had bara na bara... Ko this means by the tym yanapungua huku Kuna sehemu yameongezeka kulingana na mzunguko and vice versa... Chukua mfano wa dumu ukililaza upande mmoj maj yanajaa upande uliojazia... Ndo ivo ivo na dunia...
 
Kwan darasa la nne A.. hukusoma kupwa na kujaa kwa maji bahari ambayo inasababishwa kani ya msukumo kati ya dunia na mwezi... au mwenzetu ulisoma ualimu pasipo elimu (UPE)
 
36708f61be1f6b1422387f0693ddbf8e.jpg
 
mbona Rahisu sana maji ya bahari yenyewe hutokana na na vyanzo vingi kama mvua na mito ila maji ya bahari huondoka kipindi cha jua kali kwa mtindo wa mvuke na kwenda kuunda mawingu ambayo husukumwa na upepo na kwenda nchi kavu napo hunyesha tena kama mvua na kuingia kwenye vyanzo
Yaani umejibu kijinga kweli . .utakua hujui hata bahari ni nn ?...
Kinachozungumziwa hapo ni Kupwa na Kujaa.
 
Ok kwa kifupi tu....tunaamin kwamba dunia inazunguka means tunatofautiana masaaa kat ya nchi na nchi had bara na bara... Ko this means by the tym yanapungua huku Kuna sehemu yameongezeka kulingana na mzunguko and vice versa... Chukua mfano wa dumu ukililaza upande mmoj maj yanajaa upande uliojazia... Ndo ivo ivo na dunia...
Mkuu kama vile inaukwel hii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom