Ya kaisari MPE kaisari ya Mungu mwachie Mungu, lakini utafiti wako una kasoro kidogo
Nyumba za ibada zinajaza kuliko huko kwenye sehemu za starehe unakozungumzia kwa mfano ukiwachukua wasabato wote wanaosali siku ya jumamosi ukawaweka mahali pamoja, au waislam wote wanaoswali ijumaa ukawaweka pamoja au wakristo wote wanaosali Jumapili ukawaweka pamoja uwiano wao utakuwa mkubwa sana zaidi ya watu wote watakaokwenda kwenye starehe kwa siku moja