Swali langu limemliza x-gal wangu..

Mmh haya bwana wewe na yeye ndo wasemaji wa mwisho, hv mchuniane kwa 6 months thn umuite geto aje kirahs tu mkuu, may be she want somethng frm you....
Nashukuru umenisemea mawazo yangu, miezi 6 ya kuachana afu anaitwa room anaenda?...khaaa huyo kuna kitu anakihitaji kabisa...hiyo kulia ni njia ya kumfanya S alainike ili amwingize kwenye mstari.....
 
Inakuwa vigumu kukujibu kwa nini hakujibu swali lako kwa sababu hatujui ulipomuuliza alikuwa na 'mood' gani?..
Sikia.. mara nyingi kama mnaongelea issue flan halaf mara mtu anakuingizia issue tofauti lazima 'itakuboa'..
Mfano..Kama mlikuwa mnaongelea mambo yenu may be 'your old school' afu from nowhere uanze kumuuliza about 'shemeji' yako..lazima itamkata stimu..
Any way...anataka kukuibia..hana cha ziada..
 
Wewe bdo unamtaka.na yeye anakutaka.msi2zuge hapa,mnatakana!bt mind u kuna UKIMWI,atakubebesha zgo lake la virus uhangaike nalo mji mzma.MPOTEZEE,tafta wako uoe,ujenge familia.
 
Wajinga ndo waliwao! Sasa hapo unaona anakupenda mwenyewe?alipokuacha alienda kwa kidume kikamega weeeeeee kimechoka kikamtosa! Sasa naona anataka kurudi kwa zoba lake la mwanzo analia ili umuonee huruma tu

Teh teh teh!
 
Wewe bdo unamtaka.na yeye anakutaka.msi2zuge hapa,mnatakana!bt mind u kuna UKIMWI,atakubebesha zgo lake la virus uhangaike nalo mji mzma.MPOTEZEE,tafta wako uoe,ujenge familia.

co kweli,me nilikua nataka kumsabah 2 coz kachaguliwa kuanza masomo kwenye chuo nilichopo mim!
 
Wadau,kwanza polen sana na mzigo wa deni la dowans!!ni hv,nlikua na gal wangu,baadae 2kaachana na yeye ndo alyekua wa kwanza kuniambia 2achane,tukakatiana mawasliano kwa muda wa miezi 6,juzi nikajipendeza kumuita rum kwangu,alvokuja 2kapga story za kawaida 2,baadae nkamuulza,vp shemu wangu hajambo?cha kushangaza mmanzi akaanza kutoa machozi,thn akaniaga akaondoka bila kunijbu chochote,akakaa ka 30mts akan2mia txt aknambia,swali langu ni gumu sana na halijbiki.hiv wadau,huyu m2 atakua kakumbwa na nin hasa?

Ulimuita room kwako kufanya nini? Kuuliza habari mwanaume mwenzio?? Wewe kama unataka kurudisha majeshi rudisha hayo ya shemeji hayakuhusu.

Pole sana.
 
labda unamfahamu mpenz wake ndo mana akalia mana amekosa la kukujibu.....wengine kama humjui mpenz wake anakujibu bado yupo yupo ili umtongoze.

Sasa we unamwita X wako chumbani ulikuwa unataka umfanyaje?
 
cmjui huyo jamaa yake na ckumuita kwa nia mbaya..nlitaka 2 2pge story kisela.
 
Wadau,kwanza polen sana na mzigo wa deni la dowans!!ni hv,nlikua na gal wangu,baadae 2kaachana na yeye ndo alyekua wa kwanza kuniambia 2achane,tukakatiana mawasliano kwa muda wa miezi 6,juzi nikajipendeza kumuita rum kwangu,alvokuja 2kapga story za kawaida 2,baadae nkamuulza,vp shemu wangu hajambo?cha kushangaza mmanzi akaanza kutoa machozi,thn akaniaga akaondoka bila kunijbu chochote,akakaa ka 30mts akan2mia txt aknambia,swali langu ni gumu sana na halijbiki.hiv wadau,huyu m2 atakua kakumbwa na nin hasa?

senator,huyo ni yule shemeji yetu wa mwanza au? Lol!
 
Back
Top Bottom