Naomba nikuulize! Unaye mama? Kama unaye kaa naye chini akupe maarifa maana nahisi hayo ni matokeo ya baba kushindwa wajibu wake maana yeye ndio alipaswa kukupa hayo maarifa.Swali ni mwanamke anatoa Nini?
Nafikiri hili swali lina majibu or mtazamo wa aina 3.Mbona hakuwaamini akaona hanuweZi peke yenu akamuumba mwanamke
Hivi mnakuwaga na MAMA waliowazaa Kweli nyie?ule msemo watoto wa kiume wanapenda mama zao imekuwaje siku hizi??Hivi unaweza ku highlights upuuzi wa namna hii achilia mbali kuandika kutumia utashi wako?
😍😂😂😂 apokee na 💉💉💉Kuna mmoja huko kwenye nyuzi kasema kama wanawake wanawapa ushaurii basi hata mbuzi anaweza kutoa ushaurii… kwanini sasa usianzishe mahusiano na mbuzi akupe ushauri ukatafuta mwanamke
Umenena 💯Chimbuko la hili tatizo ni wanaume wengi kukosa msingi wa kiume kwaio wanakua kama wavulana. Hawajui majukumu yao n.k.
Mbona huvitaji hivyo vingi? Vitaje??Sisi wanawake tuna vingi vya kuwaoffer kuliko ninyi wanaume
Nimesoma uzi wako nimepata hadi mshtuko. Hivi kuna wanaume rijali kabisa hawajui thamani ya wanawake? Wamezaliwa na nani na wanatunzwa na nani majumbani mwao? Wala usibishane nao wewe wapite kule dada mzuri. Aiseyefunzwa na ***** atafunzwa na ulimwengu.Hivi mtu mpaka anauliza hili swali huwa anawaza kitu gani haswa?? Yaani umekaa ukafikiria ukaja kuuliza swali ambalo majibu yake unayo
Mwanamke ana mengi ya kutoa kuliko hata wewe mwanaume… kwanza waulizaji wengi humu ni single( hawajaoa).. waliooa wanajua nini wanapata kwa wake zao zaidi ya papuchi…
Kuna mmoja huko kwenye nyuzi kasema kama wanawake wanawapa ushaurii basi hata mbuzi anaweza kutoa ushaurii… kwanini sasa usianzishe mahusiano na mbuzi akupe ushauri ukatafuta mwanamke
Hilo swali limekaa kimtego sana ni kama mnataka na nyie muanze kupewa matumizii muachiwe pesa ya mboga
Kwani ninyi wanaume mnakitu gani cha kuoffer zAidi ya pesaa???
Na Kama ni pesa wapo wanawake wanahonga wanaume sana tu, Je na hao mnataka wawape na kipi zaidi
Msichokijua ni kwamba asilimia 90 ndani ya Ndoa wanawake wanajihudumia wenyewe… wanaume wa siku hizi hawajui wajibu wao… wanaoa wanatelekeza wanawake
Yeye akiacha hela ya mboga ndio kamaliza…. Hajui mkewe anapaka mafuta gani chupi zake zimeishaa au hana nguo na mpaka aambiwe
Hivi unamuoa mtu unajua hana kazi ulitegemea avae kwa hela ganii au matumizi yake madogo madogo…
Hamjiulizi kwanini wanawake wengi siku hzi wanacheza mavikoba mpk kausha damu ili tu waweze kuhudumia familia zao
Kina Zamaradi wanakopa mpk ma benk ili kujihudumia
Sisi wanawake tuna vingi vya kuwaoffer kuliko ninyi wanaume
Hebu nipeni jibu
Wanaume mnanini cha kuoffer kwa mwanamke zaidi ya pesa???
Vitaje hivyo mnavyo-tu-offerHivi mtu mpaka anauliza hili swali huwa anawaza kitu gani haswa?? Yaani umekaa ukafikiria ukaja kuuliza swali ambalo majibu yake unayo
Mwanamke ana mengi ya kutoa kuliko hata wewe mwanaume… kwanza waulizaji wengi humu ni single( hawajaoa).. waliooa wanajua nini wanapata kwa wake zao zaidi ya papuchi…
Kuna mmoja huko kwenye nyuzi kasema kama wanawake wanawapa ushaurii basi hata mbuzi anaweza kutoa ushaurii… kwanini sasa usianzishe mahusiano na mbuzi akupe ushauri ukatafuta mwanamke
Hilo swali limekaa kimtego sana ni kama mnataka na nyie muanze kupewa matumizii muachiwe pesa ya mboga
Kwani ninyi wanaume mnakitu gani cha kuoffer zAidi ya pesaa???
Na Kama ni pesa wapo wanawake wanahonga wanaume sana tu, Je na hao mnataka wawape na kipi zaidi
Msichokijua ni kwamba asilimia 90 ndani ya Ndoa wanawake wanajihudumia wenyewe… wanaume wa siku hizi hawajui wajibu wao… wanaoa wanatelekeza wanawake
Yeye akiacha hela ya mboga ndio kamaliza…. Hajui mkewe anapaka mafuta gani chupi zake zimeishaa au hana nguo na mpaka aambiwe
Hivi unamuoa mtu unajua hana kazi ulitegemea avae kwa hela ganii au matumizi yake madogo madogo…
Hamjiulizi kwanini wanawake wengi siku hzi wanacheza mavikoba mpk kausha damu ili tu waweze kuhudumia familia zao
Kina Zamaradi wanakopa mpk ma benk ili kujihudumia
Sisi wanawake tuna vingi vya kuwaoffer kuliko ninyi wanaume
Hebu nipeni jibu
Wanaume mnanini cha kuoffer kwa mwanamke zaidi ya pesa???
Hapana bwanaa wengine hatupoo hivyooo..We si ndo juzi ulikuwa unasema hutompikia mumeo, mabinti wengi siku hizi mmekuwa wabinafsi, mama zetu (wengi wao) walikuwa wanafanya traditional gender roles kama kupika, kufua, kuweka nyumba safi, kulea watoto kitabia, huku baba zetu wakiwa kazini wanatafta hela ya kuprovide for whole family, sahiv kupika hamtaki, mkienda kazini, mshahara wenu hamtaki kuchangia kwenye family..sijui mnaupeleka kwa mwamposa na waganga, hata kwenye ndoa papuchi mnatoa kwa manati Joannah Bless mom Dream Queen
Mwambie mwenzako.Huu mjadala kuumaliza ni ngumu
Kimsingi tumeumbwa kutegemeana
Siku na mpango wa kureply ila naona wanawake wamejibu kwa makasiriko sana. Ila huu mjadala naumaliza mm lengo si kuwafumba wanawake midomo ila nataka wanawake watambue nafasi yao na wanaume watambue wajibu wao au majukumu yao.Hivi mtu mpaka anauliza hili swali huwa anawaza kitu gani haswa?? Yaani umekaa ukafikiria ukaja kuuliza swali ambalo majibu yake unayo
Mwanamke ana mengi ya kutoa kuliko hata wewe mwanaume… kwanza waulizaji wengi humu ni single( hawajaoa).. waliooa wanajua nini wanapata kwa wake zao zaidi ya papuchi…
Kuna mmoja huko kwenye nyuzi kasema kama wanawake wanawapa ushaurii basi hata mbuzi anaweza kutoa ushaurii… kwanini sasa usianzishe mahusiano na mbuzi akupe ushauri ukatafuta mwanamke
Hilo swali limekaa kimtego sana ni kama mnataka na nyie muanze kupewa matumizii muachiwe pesa ya mboga
Kwani ninyi wanaume mnakitu gani cha kuoffer zAidi ya pesaa???
Na Kama ni pesa wapo wanawake wanahonga wanaume sana tu, Je na hao mnataka wawape na kipi zaidi
Msichokijua ni kwamba asilimia 90 ndani ya Ndoa wanawake wanajihudumia wenyewe… wanaume wa siku hizi hawajui wajibu wao… wanaoa wanatelekeza wanawake
Yeye akiacha hela ya mboga ndio kamaliza…. Hajui mkewe anapaka mafuta gani chupi zake zimeishaa au hana nguo na mpaka aambiwe
Hivi unamuoa mtu unajua hana kazi ulitegemea avae kwa hela ganii au matumizi yake madogo madogo…
Hamjiulizi kwanini wanawake wengi siku hzi wanacheza mavikoba mpk kausha damu ili tu waweze kuhudumia familia zao
Kina Zamaradi wanakopa mpk ma benk ili kujihudumia
Sisi wanawake tuna vingi vya kuwaoffer kuliko ninyi wanaume
Hebu nipeni jibu
Wanaume mnanini cha kuoffer kwa mwanamke zaidi ya pesa???
PumbaHivyo vichokoraa vinakuumiza kichwa?
Hao ni wale waliomaliza chuo ramani haisomi wanakua wana makasiriko na kila Mwanamke sababu wanawaonea wivu, kiufupi kwa jinsi walivyopigwa na maisha, wanatamani hata wangezaliwa Wanawake.... Hakuna Mwanaume rijali, aliyejitafuta akajipata akauliza maswali kama hayo....
Relax Mama, tafuta Mvinyo uuburudishe Moyo wako, it's a weekend
umeongea ujinga tu.Ona huyu nae
Baada ya mungu ni mwanaume ndo anafata
Ebu fikiria hii dunia tu,bila mwanaume ingekuwaje,ugunduzi wote ni mwanaume
Ujenzi kuanzia mabarabara mpaka majengo ni mwanaume
Sasa ngoja nikujibu,unajua pesa ndo maisha
Pesa ndo ulinzi,pesa ndo kila kitu