Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,280
- 25,859
Tangu kuanza kwa awamu ya tano ya Serikali ya Tanzania chini ya Rais John Pombe Joseph Magufuli,kumekuwa kukiripotiwa kufanyika ziara za kikazi za viongozi wa kiserikali.
Imekuwa ikisemwa kuwa Rais,Waziri Mkuu,Waziri,Naibu Waziri,Mkuu wa Mkoa,au Mkuu wa Wilaya amefanya ziara ya kushtukiza mahali fulani kwa lengo fulani.
Napenda niombe kufahamishwa,ziara zipi au za namna gani zifanywazo na viongozi hao si za kushtukiza?