Mkuu wazazi wetu( mama zetu wa enzi hizo) most of them walikuwa na mioyo ya kipekee ndio maana familia zetu nyingi zimeishi maisha ya extended family bila shida yaan nyumban mnahudumiwa sawa bila kujali huyu wa mtoto wa mjomba, shangaz, binamu n.k but wadada wa siku hiz japo sio wote wengi ni wachoyo na wabinafsi ndio maana hawapendi ndugu upande wa mume japo mtafutaji ni kaka mtu.Mbonaa moma kaolewa na baba ila wageni wakija wa upande wowote namuona mama anafurahi sanaaa na hatamani waondoke
ESCORT 1 acha kupotosha umma buana
Kwa hiyo una shauri mtoa mada awe ana search thread kama ilishapostiwa before.. ila sijaona baya lolote hii mada kwangu mpya sio tatizoNadhani kuna haja ya kuwepo alert kama mada iliyokwishashajadiliwa humu basi mtu anapopost uzi ajue ipo kabla ya kupost. Hii mada imejadiliwa humu ndani mara nyingi saana.
Mama tu akizaa hawapi upendo sawa wanae,itakua mtoto wa mume?!, mtoto wa kambo apewe haki zake za msingi,ila kusema atapata mapenzi kama ambayo angepewa na aliemzaa..impossible!Hapa lazima wachangiaji wapungue. Tena mi naomba niongezee tu kidogo kuwa hata kama wakikuta una mtoto asilimia kubwa huona tabu sana kutoa malezi toshelezi yenye uwiano sawia na mwanaye wa kumzaa kinyume na sisi wanaume!
Mbona baba wakambo kwa asilimia kubwa anaweza?Mama tu akizaa hawapi upendo sawa wanae,itakua mtoto wa mume?!, mtoto wa kambo apewe haki zake za msingi,ila kusema atapata mapenzi kama ambayo angepewa na aliemzaa..impossible!
Baba mbona kwa asilimia kubwa inawezekana?Mama tu akizaa hawapi upendo sawa wanae,itakua mtoto wa mume?!, mtoto wa kambo apewe haki zake za msingi,ila kusema atapata mapenzi kama ambayo angepewa na aliemzaa..impossible!
Umeona eee!Mwamba ngoma, huvutia uoande wake!
Wapo ambao wanapata mapenz kwa mm zao wa kambo kuliko hata kwa mam zao walowazaaMama tu akizaa hawapi upendo sawa wanae,itakua mtoto wa mume?!, mtoto wa kambo apewe haki zake za msingi,ila kusema atapata mapenzi kama ambayo angepewa na aliemzaa..impossible!