Jamani Vatican ni nchi kamili....wao hawaiti rais bali mkuu wa nchi ambaye ni Papa Benedict XI....Tukija kwa Nyambari hilo si swali la kitoto. Ni muhimu sana kufahamu tuna mahusiano mazuri ya kidiplomasia na nchi ngapi duniani. Twaweza dhani ni swali la kitoto lakini linapokuja suala la uhusiano kimataifa ni vema kufahamu nani na nani ni marafiki zetu.
ubaloz wa vatican ww unataka uwakilishe nchi gani? Zaidi ya Vatican mbna unazd kuulza maswali yasiyo na maana kama Nyangwine.kwa mtizamo wako unaweza kuliona ni la kitoto, lakini siyo la kitoto, kama wewe unaliona la kitoto haya nitajie hapa. Acha kukurupuka kwenye maswali ya kimtego, ivi unajua alikusudia nini baada ya kujibiwa? wewe mwelewa haya nijibu, kama balozi zinawakilisha nchi niambie ubalozi wa Vatican hapa nchini unawakilisha nchi gani?
Sasa swali lijibiweje na umeshajibiwa kisomi? Wale "wababaishaji" wanaweza kukujibu nini tena?Tukuyu hakika umejibu kisomi, ama wengine walikuwa wanababaisha. sasa swali la mh mbunge lijibiwe na hao walio muona kauliza swali la kitoto.
Dadavua uonekane thinker kidogo alipo uliza alijibiwaje na mukutadha wa swali ulikuwaje we vip babuJamani,swali la Nyambari nyangwine leo kwa waziri wa mambo ya nje mi naona ni la kitoto.,eti waziri amtajie ni nchi ngapi zina balozi nchini Tanzania.,sijui mnalionaje
Acha kutetea ujinga,sasa kwa akili yako unaona hilo ni swali la kuuliza bungeni,for what?huyu mb sijui huwa anafikiria nn,yan hana reasoning hata kdg!na wewe amekutuma umtetee au?kwa mtizamo wako unaweza kuliona ni la kitoto, lakini siyo la kitoto, kama wewe unaliona la kitoto haya nitajie hapa. Acha kukurupuka kwenye maswali ya kimtego, ivi unajua alikusudia nini baada ya kujibiwa? wewe mwelewa haya nijibu, kama balozi zinawakilisha nchi niambie ubalozi wa Vatican hapa nchini unawakilisha nchi gani?
Jamani,swali la Nyambari nyangwine leo kwa waziri wa mambo ya nje mi naona ni la kitoto.,eti waziri amtajie ni nchi ngapi zina balozi nchini Tanzania.,sijui mnalionaje
Vatican city=Dar es salaam city
vatican city=Mwanza city
je haya majiji yetu yana mabalozi kimataifa?
Vatican ni nchi: ina Mipaka, Mkuu wa nchi, watu, nk!ndio, sasa vatican ni nchi?
kwa mtizamo wako unaweza kuliona ni la kitoto, lakini siyo la kitoto, kama wewe unaliona la kitoto haya nitajie hapa. Acha kukurupuka kwenye maswali ya kimtego, ivi unajua alikusudia nini baada ya kujibiwa?
wewe mwelewa haya nijibu, kama balozi zinawakilisha nchi niambie ubalozi wa Vatican hapa nchini unawakilisha nchi gani?
Swali hili lina hila ndani yake tena hila mbaya.
Hebu wakati mwingine tuache ubishi usio na maana kwa masuala yaliyo wazi. Vatican City ni mji mkuu wa nchi inayoitwa Vatican similar to Mexico - Mexico City, etc. Jina lingine la Vatican hujulikana pia kama "Holy See" na kiongozi wake mkuu (ukipenda waweza kumwita rais) ni Pope. Nchi hii inatambuliwa na Umoja wa Mataifa (UN) na ni mwanachama wa umoja huo na ina mabalozi duniani kote kwa zile nchi ambazo ina uhusiano nazo na pia nchi kadhaa zina mabalozi wao Vatican mfano Marekani ( United States Ambassador to the Holy See - Wikipedia, the free encyclopedia ).
Nchi hii pia hushiriki katika matukio mbalimbali ya kimataifa yanayojumuisha nchi wanachama wa UN ( Vatican Ambassador to the UN to Present Award to Proponent of "Contraceptives" | LifeSiteNews.com ). Mfano mwingine mzuri; Vatican ilishiriki katika Mkutano Mkuu wa Wanawake Duniani uliofanyika Beijing China 2005 ( http://www.catholicnews.com/data/stories/cns/0706393.htm ). Kwa hiyo kwa ufupi Vatican ni nchi kamili na inayotambuliwa duniani kote isipokuwa kwa wale wenye ajenda zao za siri.
HILA ILIYO NDANI YA HOJA HII: Imekuwa ni kawaida kila mjadala wa kujiunga na OIC unapoibuka hapa nchini na kwenye "mikutano ya kashfa" suala la Ubalozi wa Vatican hapa nchini hutumiwa kama mfano wa kushadidia hoja za kijinga katika kujaribu kuonesha kwamba kwa kuwa Vatican ina Ubalozi wake hapa basi ni halali (lazima) serikali ikubali kujiunga na OIC kwa vigezo vya Vatican.
SWALI: OIC ni nchi?
mna pesa ya ku ran cost zake?Vatican city=Dar es salaam city
vatican city=Mwanza city
je haya majiji yetu yana mabalozi kimataifa?
Jamani,swali la Nyambari nyangwine leo kwa waziri wa mambo ya nje mi naona ni la kitoto.,eti waziri amtajie ni nchi ngapi zina balozi nchini Tanzania.,sijui mnalionaje
kwa mtizamo wako unaweza kuliona ni la kitoto, lakini siyo la kitoto, kama wewe unaliona la kitoto haya nitajie hapa. Acha kukurupuka kwenye maswali ya kimtego, ivi unajua alikusudia nini baada ya kujibiwa?
wewe mwelewa haya nijibu, kama balozi zinawakilisha nchi niambie ubalozi wa Vatican hapa nchini unawakilisha nchi gani?