The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,891
Mtakumbuka kua CHADEMA walipita nchi nzima mchana wa jua linawaka kua Lowasa ni fisadi na endapo wangeingia ikulu angekabiliwa na mashtaka mungu mkubwa Lowasa kaamua kuwafuata huko huko.
Badala ya kumpeleka mahakamani wakaanza kumnadi kuwa anafaa sana kuwa rais. CHADEMA wakiwa wanasema hayo, CCM walitulia kimyaaa kana kwamba hawajui wala hawasikii lolote. tabu ilianza alipotoka kwao mara tukasikia wanamsakama usiku na mchana kuwa ni mwizi na fisadi anastahili kuwa jela.
Je ikitokea lowasa akarudi CCM, CHADEMA watatuambia nini? CCM pia watatuambia nini?