Swali la kizushi

Swali la kizushi

Winor_224

Member
Joined
May 17, 2015
Posts
25
Reaction score
10
Hivi kwa mfano umepata nafasi ya kuchagua dhambi inayotakiwa kuhalalishwa,ungechagua ipi?
 
Nifikiri hata wewe huoni ipi utaifanya siyo dhambi tena. Hakuna kosa lililofanyika kutambua matendo, fikra na maneno ya watu kuwa ni dhambi na yatabakia hivyo milele.
 
hakunaga dhambi. kwa uelewa wako n nn kinacho amount to a sin? kila k2 ni sawa.
 
Ngono ingeondolewa kwenye group la dhambi. Na huu ukimwi usingekuwepo...tuwe kama kuku vile
 
Back
Top Bottom