swali la kizushi

Sumu haiekspayi, inazidi ku'ferment na kuwa kali zaidi!
 
Rahisi sana hio Bhana Fakhi, hio inakuwa Cocaine hio bhana....nzuri sana ati hio ndio maana hata ukikamatwa nayo haichomwi kama Bangi, huwa Sirikali inaihifadhi kwa matumisi ya baadae, iko na jingine weye??:flock:
 
Rahisi sana hio Bhana Fakhi,
hio inakuwa Cocaine hio bhana....nzuri sana ati hio ndio maana hata
ukikamatwa nayo haichomwi kama Bangi, huwa Sirikali inaihifadhi kwa
matumisi ya baadae, iko na jingine weye??:flock:

Aaah, mimi nina matokeo tofauti ya jaribio la kikemikali. Sumu iki-expire inarudi kuwa dawa, ila si ya kutibu tena ugonjwa wa mwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…