Mkuu una miaka mingapiThey don't hunt like how average Joes do!
Maneno yao hua ni machache tu ila yenye nguvu balaa.
Mfano, "unataka wilaya gani?"
Kuna uhusiano gani na nilichokiandika mkuu?Mkuu una miaka mingapi
wanakutanaje sasa na oda hiyo anampa nani anayemuamini? haya mambo yanafanywa na rafiki wa karibuAnaagiza nileteeni namba ya Mtu fulani.. then anamsoundisha
sawa kumwambia anataka wilaya gani anaanzaje na anampata wapi kumwambia?They don't hunt like how average Joes do!
Maneno yao hua ni machache tu ila yenye nguvu balaa.
Mfano, "unataka wilaya gani?"
Mbona kama unatutafutia kesi mkuu!sawa kumwambia anataka wilaya gani anaanzaje na anampata wapi kumwambia?
Hahahaaaaaa we noumaH...They don't hunt like how average Joes do!
Maneno yao hua ni machache tu ila yenye nguvu balaa.
Mfano, "unataka wilaya gani?"
Mbona kama unatutafutia kesi mkuu!
Yani unataka tuseme Mr. Oresident hua anamtuma fulani?
Unapajua Mabwepande?
swali langu halijamlenga mtu yeyote in particular! Najaribu ku imagne scenario kama hiyo! maana yanasemwa mengi lkn ...Mbona kama unatutafutia kesi mkuu!
Yani unataka tuseme Mr. Oresident hua anamtuma fulani?
Unapajua Mabwepande?
Uhusiano upo maana mkuu hujamung,unya manenoKuna uhusiano gani na nilichokiandika mkuu?
Mimi uwezo wangu umeishia hapo mkuu, wachangiaji wengine watamalizia. Mchana mwema!swali langu halijamlenga mtu yeyote in particular! Najaribu ku imagne scenario kama hiyo! maana yanasemwa mengi lkn ...
Kuna uhusiano gani na nilichokiandika mkuu?
Nawe pia!Mimi uwezo wangu umeishia hapo mkuu, wachangiaji wengine watamalizia. Mchana mwema!
Ok sawa!Nafikiri anataka kufahamu ukipigwa mvua miaka30 kama utarudi ukiwa bado una nguvu za ku comment humu,,, unabambikizwa li kesi tu baya.