SWALI LA KIZUSHI PART ii

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,711
Ivi mkeo au mchumba wako wa kike akikuuliza hili swali utajibu vipi.

" ivi nikifa utaoa mke mwingine"?
 
Mkuu, mbona swali jepesi tu,hata usipouliza lazima watu wataolewa au wataoa siku mmoja akifariki
 
haiwezekani kuoa MKE mwengine,isipokuwa kuoa MWANAMKE mwengine inawezekana.
 
n.....ko!!! umetuweka watoto wadogo sisi ...!
Swali la mtego hili huwezi kuoa MKE isipokuwa unaoa MWANAMKE (MKE NI MWANAMKE ULIYEMUOA/ALIYEOLEWA). Hii ni sawa nakusema BARAFU iliyoganda. Barafu haigandi ila Maji ndiyo yagandayo. Ila muuliza swali nampa mji,nenda Kilindoni
 
Siyo jibu, umechemka .
 
Mi naona inategemea na umri,mfano,wote mnamiaka 90 kwa kila m1,mwanamke akifa kweli utaoa mwanamke mwingine?umri ndio kilaki2.
 
unajua hata siku moja usimtie mwenzako katika ajariu, kwasababu wht if akifail kuahandle hayo majaribu??
 
Ivi mkeo au mchumba wako wa kike akikuuliza hili swali utajibu vipi.

" ivi nikifa utaoa mke mwingine"?
Ingekuwa mm nakwepa kumjibu kwa kumzuga kuwa asizungumzie mambo ya kifo kwani sio mazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…