Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,085 Oct 9, 2014 #1 Ungependa adui yako apungukiwe na kiungo gani katika mwili wake?
kamtu33 JF-Expert Member Joined Mar 15, 2012 Posts 998 Reaction score 409 Oct 9, 2014 #2 Macho asione kabisa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,085 Oct 9, 2014 Thread starter #3 kamtu33 said: Macho asione kabisa Click to expand... Kiss...!!!???
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,636 Reaction score 44,392 Oct 9, 2014 #4 Hehhehehe mimi kusema kweli sina roho mby namna hiyo
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Oct 10, 2014 #5 mshana jr said: Ungependa adui yako apungukiwe na kiungo gani katika mwili wake? Click to expand... Ulimi. Asitamke hata neno moja.
mshana jr said: Ungependa adui yako apungukiwe na kiungo gani katika mwili wake? Click to expand... Ulimi. Asitamke hata neno moja.
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Oct 10, 2014 #6 Ah, ningependa awe na maisha marefu zaidi ili anione ninavyoishi maisha yangu.....
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,085 Oct 10, 2014 Thread starter #7 kabanga said: Ah, ningependa awe na maisha marefu zaidi ili anione ninavyoishi maisha yangu..... Click to expand... Well done kabanga post yako imekaa kitakatifu zaidi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
kabanga said: Ah, ningependa awe na maisha marefu zaidi ili anione ninavyoishi maisha yangu..... Click to expand... Well done kabanga post yako imekaa kitakatifu zaidi
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Oct 10, 2014 #8 mshana jr said: Well done kabanga post yako imekaa kitakatifu zaidi Click to expand... Ahsante Mshana Jr.... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mshana jr said: Well done kabanga post yako imekaa kitakatifu zaidi Click to expand... Ahsante Mshana Jr....
fleha Senior Member Joined Oct 9, 2014 Posts 111 Reaction score 103 Oct 10, 2014 #9 Mi ningetaka akaite wenzie ili waniongezee changamoto na hasira za kufikia malengo
innocentmollel JF-Expert Member Joined Sep 11, 2014 Posts 1,702 Reaction score 753 Oct 10, 2014 #10 Namwombea memaa na aache roho mbaya ili tutafute uzima wa mbinguni .
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Oct 10, 2014 #11 Adui yangu namuombea mema ana maisha marefu ili aone.navyoneemeka
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,847 Reaction score 34,303 Oct 10, 2014 #12 Mm adui yangu namwombea njaa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,085 Oct 10, 2014 Thread starter #13 Hatupaswi kuwanenea mabaya adui zetu