The Prevention and Combating of Corruption Act, 2007 haizungumzii lolote juu ya "uteuzi" wa Public Prosecutors isipokuwa Section 7 inasema kama ifuatavyo:
Functions of the Bureau shall be to take necessary
measures for the prevention and combating of corruption in the
public, parastatal and private sectors and in that regard, the Bureau
shall-
(a)...(d) N/A
(e) investigate and, subject to the directions of the Director of
Public Prosecutions, prosecute offences under this Act and
other offences involving corruption; (emphasis supplied).
Vifungu vinavyozungumzia "uteuzi" ni kama hivi vifuatavyo:
Section 95 (1) ya The Criminal Procedure Act, Cap. 20, R. E. 2002 inasema kama ifuatavyo: The Director of Public Prosecutions may, by notice published in the Gazette, appoint public prosecutors for Tanzania or for any specified area of Tanzania, either generally or for any specified case or category of cases. (Emphasis supplied).
S. 95 (3) pia inasema kama ifuatavyo: "Every public prosecutor shall be subject to the express directions of the Director of Public Prosecutions."
Kwa hiyo unaweza kuona kwamba kwa habari ya Appointment and Control vyote viko chini ya DPP, whether Prosecutor yuko kwenye Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) au la!