swali la kitata?

nziriye

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
1,050
Reaction score
365
kuna mchezo unapendwa na wav ,na inaonekana uwanja ni mdogo kwa hiyo inahitajika kufanya upanuzi wa uwanja ,je ni mchezo gani huo?
 
kama sio kucheza pool itakua mchezo wa kukaa kijiweni.
 
kuna mchezo unapendwa na wav ,na inaonekana uwanja ni mdogo kwa hiyo inahitajika kufanya upanuzi wa uwanja ,je ni mchezo gani huo?
Hao wav ni

  • Wavulana?

  • Wavivu?
  • Wavuvi? au nini?
Fafanua wav kwanza,, sitaweza kujibu swali ambalo sijalielewa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…