Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,611
- 164,629
Ndugu hapo ulipo naomba ufanye assumption ifuatayo.
Unaishi mtaa/kijiji kimoja na watu hawa,Kikwete,Lowassa na Pinda.
Katika mazingira hayo,unatokea uchaguzi wa mwenyekiti wa kijiji na miongoni mwa wananchi waliojitokeza kugombe na ambao watakaopigiwa kura ni Kikwete,Lowassa na Pinda kama wananchi wa kawaida tu kijijini kwako.
Sasa ndugu kati ya hao, bila kujali vyama vyao(assume wanatoka vyama tofauti),nani kati yao utamchagua awe mwenyekiti wako wa kijiji/mtaa?
Naomba majibu.
1,mtawa -ikulu
2,gurumo-ikulu,
3,hawa gasia- ,shemeji
4,shukuru kawambwa-binamu
5,said mwema-,shemeji
6.Ben membe-shemeji
7. Mwantum Mahiza -shangazi
8. Ridhiwan Jakaya kikwet -Mtoto
.....................
........................
ongeza list
Lakini ki-ukweli kuna Mtu mwingine zaidi ya hayo majina uliyo taja na Ana sifa au wasifu Kama wa Mkapa au lower qualities za JK original or say above those qualities za JK original what will be your choiceNdugu hapo ulipo naomba ufanye assumption ifuatayo.