MTAMBOKITAMBO
Senior Member
- Jun 2, 2011
- 194
- 39
Sawa,lakini huoni kwamba matumizi ya technology yanaongezeka kwa kasi nchini?Mmekua weng mno sokon so demand yenu imeshuka.
Eti kamlete,hahaha!Nimekuelewa mkuu,mi nadhani sasa inabidi ubunifu uongezeke maana!Eti Tanzania haina wasomi wengi,sasa wawe wengi ili wakose kazi sijui...soko co zuri sana kama zamani manake sasa kuna wahitimu wengi wa hizo fani,kuhusu mishahara cna uhakika sana lkn nackia inaanzia laki 5 na kuendelea,ila kama ww ni wa kamlete unaweza pata mshahara mpaka 1.4m kwa anaetoka moja kwa moja chuoni.
Sawa,lakini huoni kwamba matumizi ya technology yanaongezeka kwa kasi nchini?
Kwanini kazi ziishe...
Tatizo technology sio kitu cha kukariri,inachange daily,but I hope in the future,hizi kazi ni promising kwa jinsi ninavyoona matumizi ya internet yanavyoongezeka.Kwa wale ma-injinia wa Electronics and Computer Engineering bado wana soko hapa nchini.
Tatizo technology sio kitu cha kukariri,inachange daily,but I hope in the future,hizi kazi ni promising kwa jinsi ninavyoona matumizi ya internet yanavyoongezeka.
Sawa,lakini huoni kwamba matumizi ya technology yanaongezeka kwa kasi nchini?
Kwanini kazi ziishe...
Sijasema mimi nasomea hayo mambo mkuu,sijakariri,mi nafanya kazi za i.t na sijasomea hayo mambo!Hapo kwenye red sihusiki,kama wewe unadhani kazi zimebase kwenye database tu,kalaga baho!kaka acha kuishi maisha ya kukariri, hivi unajua jukumu la computer scientist? Maana usije ukawa unasoma halafu hujui profession yako inakutaka ufanye nini,kazi zao zimebase kwenye database sasa kwa Tanzania makampuni mengi database zao ziko njee kwahiyo unakuta wataalamu wengi hawana mishe,kingine mtu kama anataka network au internet services ni rather ampe deal hata technician wa ucc maana ana huwezo kama mtu mwenye bachelor na anapiga mzigo fresh tu.
In short technology inakua ila through new annovations kampuni nyingi zina replace machines badala ya kuajiri watu.Unakuta system admin mmoja amebeba majukumu ya watu 10 sasa unategemea wahitimu wa hii course mtafanya ishu gani? Na wahitimu wako wengi more than you can imagine na hawana ishu rasmi za kufanya.
Sijasema mimi nasomea hayo mambo mkuu,sijakariri,mi nafanya kazi za i.t na sijasomea hayo mambo!Hapo kwenye red sihusiki,kama wewe unadhani kazi zimebase kwenye database tu,kalaga baho!
Sawa,lakini huoni kwamba matumizi ya technology yanaongezeka kwa kasi nchini?
Kwanini kazi ziishe...
Soko la ajira lipo hasa vyuoni kufundisha IT au computer applications.Hivi wakuu,wale mliomaliza hizo kozi nilizozitaja hapo juu,soko la ajira likoje kwa sasa hapa nchini? Rate ya mishahara inaendaje pia kwa wenye hizo bachelors...
unaoUkuwaji wa cloud computing na kuimarika kwa mkonga wa taifa wa mawasiliano utauwa ajira za IT na computer engineering specialist. Kampuni na taasisi nyingi zinakwepa gharama za hardware,computer staff na maintanance cost kwa ku outsource IT activity to datastorage firms ambazo zipo nje ya nchi. A simple web browser is all that is needed to gain access to web based bussiness applications.
Swali zuri sana!Enhee...unao
ngea lugha gan?
Ningependa kujibiwa hii issue na mdau aliyesomea haya mambo wakuu,kama mpo naomba mchango wenu!