chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,889
- 29,694
Je linapokuja suala la watu wawili walioshibana katika mapenzi, yaani mwanaume na mwanamke na hata kufikia hatua ya kufunga ndoa, Je linapokuja suala la kutofautiana katika mambo ya imani yaani dini tofauti kati yao, Je kati ya mwanamke na mwanaume ni nani yampasa kumsikiliza mwenzie na kuifuata imani yake tofauti na kila mtu kusimama na imani yake?