SWALI: KWANINI WANAWAKE WAZURI HAWAOLEWI ?

SWALI: KWANINI WANAWAKE WAZURI HAWAOLEWI ?

Tatizo wenye sura mbovu hungangania ndoa halafu mara moja kushika mimba, wazuri hawaitaki ndoa haraka wanaona watazeeka haraka. Acha sisi tuwale wewe endelea kuowa hao vitunguu swaumu.


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzuri wao huwaponza kwa kiasi kikubwa.
Hujiona wako marketable kwa watu wengi.

Ndiyo maana mtu akiwa nao anakuwa nao kwa akili kubwa kwa sababu anajua muda wowote anakwenda. Hivyo hujikuta wanatumika tu na kujikuta wanakuja kuolewa na watu wa kawaida sana.
tapatalk_1550050597251.jpeg
 
Eeebanae!

Ni ukweli usiopingika, wanawake warembo, wengi wao wanapigwa na kuachwa tuu, au wanazalishwa na kuishia kua masingo mother.

Hii ni kwanini? Utakuta mtu anaoa mwanamke mpaka unajiuliza huyu mwamba kampendea nini huyu mwanamke? Mbona Wa kawaida Sana?! Aseee! Mademu wabaya ndio wanaoongoza kwa kuolewa huwez amini.

Nyie wadada Wazuri mnakwama wapi?! Wengiwenu mnazeekea makwenu tuu baada ya kuzalishwa aseee!

Sijui wanakwama wapi hawa watu.

Au ndio mmeumbwa kwa ajili ya kutafunwa tuu?! Au labda mmezaliwa ili muwe michepuko?

Duuh! Mnatia huruma Sana.
Wanachagua mno wakati mwingine kuringa na kujiskia
 
UKIONA MWANAMKE HAJAOLEWA BASI SIO MZURI...

WAZURI WOTE WANAOLEWA...WEWE KAMA HUOLEWI BASI SIO MZURI...
 
Hao ni wazuri au wanaojiremba.

Wazuri wote wameolewa
 
Mwanamke mzuri ni Yule mwenye moyo safi na mwenye akili njema ya maisha !

Mwenye moyo safi maana yake awe na upendo na watu wote na siyo ndugu zake tu,
Awe na moyo wa ustahimilivu, subra, kusaidia wahitaji, utu wema,

Mwenye kupenda suluhu ya mambo , mwenye kusamehe,

Mwenye akili ya ubunifu wa mambo , mwenye kujua kuweka akiba !

Mwenye kumlinda mumewe!
 
Sababu ya sura zao matarajio yao yanakuwa makubwa sana kuwapata wenzi wenye mafanikio tayari.Mwisho wa siku wa siku wanaishiwa kudanganywa na kuachika.Hakuna mwanaume anayependa kuishi ni mwanamke ambaye ni headache!
 
Kuoa mwanamke mzuri ni sawa na kutembea na cheni za dhahabu shingoni usiku mitaa ya mwananyamala
 
Sababu ya sura zao matarajio yao yanakuwa makubwa sana kuwapata wenzi wenye mafanikio tayari.Mwisho wa siku wa siku wanaishiwa kudanganywa na kuachika.Hakuna mwanaume anayependa kuishi ni mwanamke ambaye ni headache!
Ni kweli mkuu
 
Uzuri wao huwaponza kwa kiasi kikubwa.
Hujiona wako marketable kwa watu wengi.

Ndiyo maana mtu akiwa nao anakuwa nao kwa akili kubwa kwa sababu anajua muda wowote anakwenda. Hivyo hujikuta wanatumika tu na kujikuta wanakuja kuolewa na watu wa kawaida sana. View attachment 1160165
Ngoja tuwale tuu na kuwaacha
 
Kuoa mwanamke mzuri ni sawa na kukima shamba la miwa karibu shule
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom