Swali kwa wataalam wa it

Swali kwa wataalam wa it

Kijuso

Senior Member
Joined
Jun 23, 2009
Posts
161
Reaction score
8
Nina swali ninataka kuuliza watu wa it.hapa ninapofanya kazi computer zetu wameblock internet, kwa hiyo kuna mtu akanipa ujuzi kasema ukitumia(wanatumia internet browser 9) firefox 14 unaweza kuwa hewani kwenye net, na kweli nilivyo jaribu kitu,sasa swali linakuja je nikiaanza kudownload movie watu wa it room wanaweza kunistukia? Nimesha download movie mbili.ninaogopa nisije ni kamwaga unga.mie ninafanya kazi usiku tu na kuna kama computer zaidi ya 50( sehemu yenyewe ni hotel)

nimeuliza kwa nia njema kabisa wana jamii wenzangu

ahsante
 
Watajua na hiyo itakuwa ni msala kwako!ushauri wewe piga kazi achana na Internet kwani itakukost
 
lakini nikimaliza mambo yangu ya kudownload ninadelete history je bado watajua tu?.ninatumia software inaitwa history flush haichi kitu je bado watajua?
 
nomba mwongozo wa spuka...huo si utaratibu - - 'wewe unataka kuotesha kibarua nyasi'?
 
hapo ofisini kwenu hamna IT user policy?.....swala kama hilo linaweza likaigharimu kazi yako.
 
Kaka kila kitu kitakuwa hadharani. Unavyokuwa unatumia internet unapitia kwenye server ya internet kwahiyo kama hiyo sehemu wataalamu wa IT wanajua wanachofanya watakugundua.Inawezekana usigundulike kutokana na wao kutofuatilia ila siyo kwa kukosa resource za kufuatilia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hayo nitaacha mara moja nimekuweleweni,nakuhusu user policy tunatumia usename na password moja ya meneja na hapa watu kwenye shift kuna watu 6 wangine wamelala!

ahsanteni
 
hayo nitaacha mara moja nimekuweleweni,nakuhusu user policy tunatumia usename na password moja ya meneja na hapa watu kwenye shift kuna watu 6 wangine wamelala!

ahsanteni
 
Movie 2 ni bundle nyingi sana zimepotea, kufuta browsing history kunasaidia sana tatizo ni kuwa watashtukia bundle zinaisha mapema ndipo watakapoanza kupeleleza na nijuavyo mahotelini wafanyakazi wengi ni wanoko sana we unaweza ukawa unadownload tu movie wenzio washamba watadhani unasoma siri za kampuni. Hivi ni vitu vidogo muombe Mungu siku 1 utapata internet yako unlimited, piga moyo konde.
 
hapa hotel nzima kuna wafanyakazi wapo permanet 260 na casual 160 lakini sisi call centre tuna rotate,maana kwa shift 12 kwa hiyo bwana fadhili nilambe movie au sio?
 
hapa hotel nzima kuna wafanyakazi wapo permanet 260 na casual 160 lakini sisi call centre tuna rotate,maana kwa shift 12 kwa hiyo bwana fadhili nilambe movie au sio?

Wewe mtu,tayari ulishakuwa umeonesha kuelewa somo,ila naona tena unarudi kulu kule mwanzo.
Ushauri wangu ni kwamba naamini wewe ni mtu mzima,unaweza kupima uzito kati ya kupoteza kazi na kuacha kudownload hizo movies.Mkuu Kijuso,kumbuka the more you use an internet the more you become addicted to it.

Matumizi ya internert ni kama kufanya mapenzi,kwa jinsi unavyozidi kujihusisha ktk mapenzi ndivyo na hamu ya kufanya mapenzi inavyozidi.Kwa sasa unadownload usiku kwa kuibiaibia,ila kitafika kipindi utajikuta unakdownload hadi mchana,believe me!Inernet ina addiction mbaya hata kuliko drugs,usifanye mchezo ndugu yangu.

Sasa cha kufanya,nunua modem(najua huwezikosa 30,000-40,000/-ukiamua kujipanga) kisha jiunge na wajanja night ya voda.Kwanza utakuwa huru,pili haitaingiliana na ratiba zako maana utakuwa unatumia usiku kama ulivyozoea.Si lazima kukunua PC yako,maana utakuwa unatumia hizo hizo za kazini.

Vinginevyo,naona kabisa ukichezea kibarua chako kwa sababu ambazo zinaweza kuepukika kirahisi tu.Mkuu vipo vya kuchezea,ila sio kazi ndugu yangu.
 
chagua moja kati ya movie na kazi. Chezea kazi ujue ilivyo kazi kupata kazi
 
we unadondosha tu movie eti kwa kuibiaibia.omba kitu kimoja,huyo ISP wenu awe anawapa unlimited connection kiasi kwamba jamaa wa IT wasiwe wanafuatilia sana hiyo bando yenu,otherwise kama mnanunua kwa bando like tunavyofanya kutoka kampuni za simu watakudaka tu coz watashtukia kuwa inaenda kwa kasi and so watatrace matumizi na graph itaonyesha hadi usiku usage ipo juu hadi machine unayotumia wataijua.hiyo anatumia nani mtatajana wakati barua ya kutemineti mkataba ipo mezani.
 
kuna intelligent router ambazo wewe hata ufanye michezo yako kwa pc yenyewe ina-keep record, be careful!!!
 
Nina swali ninataka kuuliza watu wa it.hapa ninapofanya kazi computer zetu wameblock internet, kwa hiyo kuna mtu akanipa ujuzi kasema ukitumia(wanatumia internet browser 9) firefox 14 unaweza kuwa hewani kwenye net, na kweli nilivyo jaribu kitu,sasa swali linakuja je nikiaanza kudownload movie watu wa it room wanaweza kunistukia? Nimesha download movie mbili.ninaogopa nisije ni kamwaga unga.mie ninafanya kazi usiku tu na kuna kama computer zaidi ya 50( sehemu yenyewe ni hotel)

nimeuliza kwa nia njema kabisa wana jamii wenzangu

ahsante

Ukiambiwa hao watu wa IT wameshakustukia kutokana na maelezo ya uzi wako huu, UTABISHA?
 
Je computer zenu zina server ambayo imeconnect Pc zote? Au kila Pc inajitegemea? kama zinajitegemea na unaunganisha tu waya kwenye Pc then unafuta history inaweza kuchukua muda sn kukujua. Lakini pia kama hotel yenu imewaunganishia wateja interner, we kamua tu movie kwa sababu management itajua wateja ndio wanamatumizi makubwa hayo. Pia nataka kujua umeanza kazi lini na umeanza kutumia net kuanzia lini? Kama ni mwaka na zaidi na unafanya hivyo ofisi itakuwa inafahamu kuwa hayo ndio matumizi yake lakini kama umefanya ghafla tena umekula MB/GB nyingi watafanya followup. Wakiwa serious wanaweza kukupata hasa kama kuna server kwa vile kule kumbukumbu zote zinahifadhiwa pia wanaweza kutrack IP address ya PC yenye matumizi makubwa watakukamata. So take care
 
Nina swali ninataka kuuliza watu wa it.hapa ninapofanya kazi computer zetu wameblock internet, kwa hiyo kuna mtu akanipa ujuzi kasema ukitumia(wanatumia internet browser 9) firefox 14 unaweza kuwa hewani kwenye net, na kweli nilivyo jaribu kitu,sasa swali linakuja je nikiaanza kudownload movie watu wa it room wanaweza kunistukia? Nimesha download movie mbili.ninaogopa nisije ni kamwaga unga.mie ninafanya kazi usiku tu na kuna kama computer zaidi ya 50( sehemu yenyewe ni hotel)

nimeuliza kwa nia njema kabisa wana jamii wenzangu

ahsante

swali ni je? Conscience yako inakuambiaje? Uko right? Au uko wrong? Ukiona uko right endelea kudownload... But angalia familia yako kwanza maana ukitimuliwa na kosa lenyewe ni la kijinga(sorry) ambapo unaweza toa sh. Elfu mbili ukanunua collection ya 40 in 1.. Badala ya kukiuka taratibu za kazi
 
umeshasema wameblock internet so kitendo cha kutumia wewe ni kosa kubwa but who doesnt steal? unaweza ukatake tu risk na kuendelea kutumia but sio kwa movies(too much),jaribu kuangalia news,mambo ya kazi na at least JF na wala sio facebook,porno au movies.mimi niliwahi kushika na prof juzijuzi natumia net class na yeye anapiga pindi but guess what!amenikuta nagoogle moja ya vitu anavyofundisha so haikuwa noma wala nini. STOP IT or KNW HOW USE IT IN A GOOD AND FAIR WAY.
 
Back
Top Bottom