Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,617
- 2,267
huo sio utetezi hio ni hukumu, lete utetezi MKUU!!
SAMAHANI kwa usumbufu, ila usituache kapa, changia MKUU.Nilivyosoma uzi kwa makini nikitafuta swali hata sikutegemea kukutana na swali hilo[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Na huo ndio ukumbusho alokuachia!!? Hahahaaa!!
Mkuu, umekubali uhukumiwe bila kujitetea!!?
Pitia upate uzoefu MKUU.Poleee Sana kwa yaliyo kukuta wengine bado tuko single tunakula maisha huko baadae sana
Nikajiteteeje MKUU? Nipe maujanja ili mamii anielewe!!
Alafu unaomba samahan , atakuelwa...Atanielewa kweli,? au maswali yataongezeka?
Asante sana, ila vipi ukinaswa wewe ndio unagawa pipi ya watu, utajiteteaje!?Personally sitaki kujitaftia matatizo nilishawahi kumkuta ex na msichana getto yaliyotokea baada ya hapo sitaki kukumbuka since then siendi kwa mwanaume kabla sijampigia simu anipe go ahead ya kwenda kwake otherwise nakituliza natafuta kitu kingine cha kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app