MAWEED Platinum Member Joined Oct 11, 2016 Posts 4,620 Reaction score 16,344 Jan 22, 2024 #41 Joanah said: Mie na pombe wapi na wapi? Labda aulizie mmea...ambao huwa navutia ghetto mara zote Click to expand... Kweli rasta,kuna bush-skanki inatoka jamdam nimepokea jana,nipe adress nikufanyie delivery...halafu free
Joanah said: Mie na pombe wapi na wapi? Labda aulizie mmea...ambao huwa navutia ghetto mara zote Click to expand... Kweli rasta,kuna bush-skanki inatoka jamdam nimepokea jana,nipe adress nikufanyie delivery...halafu free
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,815 Jan 22, 2024 #42 Mjanja M1 said: Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine. sababu huwa ni nini? Click to expand... Wanatatuta ma baamedi wapya.
Mjanja M1 said: Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine. sababu huwa ni nini? Click to expand... Wanatatuta ma baamedi wapya.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 373,952 Reaction score 865,994 Jan 22, 2024 #43 Mjanja M1 said: Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine. sababu huwa ni nini? Click to expand... Kwani tangu ukiamka unakaa sehemu MOJA kama fenicha? Sent using Jamii Forums mobile app
Mjanja M1 said: Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine. sababu huwa ni nini? Click to expand... Kwani tangu ukiamka unakaa sehemu MOJA kama fenicha? Sent using Jamii Forums mobile app
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,050 Feb 2, 2024 #44 FaizaFoxy said: Wanatatuta ma baamedi wapya. Click to expand... Kuna wapya basi? Watakuwa wamehamia toka Bar nyingine kongwe na hapo hukutana na wateja wao wa zamani.
FaizaFoxy said: Wanatatuta ma baamedi wapya. Click to expand... Kuna wapya basi? Watakuwa wamehamia toka Bar nyingine kongwe na hapo hukutana na wateja wao wa zamani.
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 15,597 Reaction score 39,373 Feb 2, 2024 #45 Tunabadili ladha ya pombe, kila bar pombe zake zina ladha tofauti
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,815 Feb 3, 2024 #46 MIXOLOGIST said: Tunabadili ladha ya pombe, kila bar pombe zake zina ladha tofauti Click to expand... Walevi kwa kujitetea, mnakuweza.
MIXOLOGIST said: Tunabadili ladha ya pombe, kila bar pombe zake zina ladha tofauti Click to expand... Walevi kwa kujitetea, mnakuweza.
Mama Edina JF-Expert Member Joined Dec 18, 2022 Posts 942 Reaction score 2,271 May 1, 2024 #47 This is nice Hii sawa Bear sio jambo la kitoto totot
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 20,494 Reaction score 42,660 May 1, 2024 #48 FaizaFoxy said: Walevi kwa kujitetea, mnakuweza. Click to expand... Faiza 🦊