Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Sasa kwa mfano, na hivi ulivyo m'bishi, siku umeamua kunigomea mgegedo na mimi ndo genye mshindo hadi zinamwagika, unataka nifanyeje...??? Maana kuna wakati mnajifanyaga kama vile hamsikii ashki...Hakuna kilicho bora.......
....Utajuaje anajichua bila kumfumania?
...utajuaje ana nyumba ndogo bila kumfumania/kufuma sms?
unaweza mlaumu kumbe chanzo ni wewe mwenyewe
Jina lako limenikumbusha sana mdada mmoja kutoka Senegali kwa jina Oumou(Linasomeka Ummu) Diop,,,,,,Vyote haviruhisiwi dunian wala akhera nukta na staki maswali
Nazjaz!Bora apige nyeto, maana nyetu haileti magonjwa nyumbani, nyeto haiihitaji hela ya saluni, nyeto haibebi mimba, hivyo basi hamna watoto nje ya ndoa, nyeto haihitaji hela ya matumizi, hivyo basi tutaendelea kusave na kuboresha familia
Kuna tatizo mahali kwenye mahusiano yenu sasa anahitaji afanye hayo ili kukidhi haja zake!
Kwaniiii...kosa lako linaweza kuhalalishwa na kosa la mtu mwingine..???
Sasa kwa mfano, na hivi ulivyo m'bishi, siku umeamua kunigomea mgegedo na mimi ndo genye mshindo hadi zinamwagika, unataka nifanyeje...??? Maana kuna wakati mnajifanyaga kama vile hamsikii ashki...
asilimia kubwa ya wanaume wataangukia kwenye mpango wa kando........:becky::becky::becky:
Sasa kwa mfano, na hivi ulivyo m'bishi, siku umeamua kunigomea mgegedo na mimi ndo genye mshindo hadi zinamwagika, unataka nifanyeje...??? Maana kuna wakati mnajifanyaga kama vile hamsikii ashki...
uzuri huwa sikugomeagi...........we ukitaka kuchomeka unakuta nimeshakuandalia kila kitu
Wewe unayajua maumivu ya kusalitiwa lakini,kweli binadamu tunatofautiana.
bora anisaliti ila akumbuke ndomu. teheeeee!
hahaaaa kwa hiyo we ungekuwa mme wangu ungependa nikuchagulie option gani!!!!!!!!!!!!!
Uwe unamuwekea basi kwenye waleti ili uondoe hata hiyo posibiliti ya kusahau...
hahahhaa, ntaanza kumuwekea halafu ole wake arudi hajazitumia. lol, hujambo shemeji? nimekumisooo.
Guys...go get a room lol...
Uwe unamuwekea basi kwenye waleti ili uondoe hata hiyo posibiliti ya kusahau...
Wengine wanaulizia ili waje wapige chabo...