Swali kwa wanawake !







.........Nishafika hunioni tu!!!!!!!!!!!!
 
Ni kwa sababu Mungu aliumba mapenzi kuwa ya wawili tu so wa tatu akiingilia hapo ni ishu nyingine na ndo maana mtu anachukia,hebu tufikirie mfano mdogo tu,kwa nini hatuchukii kushare na watu chakula kitamu na vinywaji?ni kwa sababu Mungu alituumba hivyo tufurahie kutumia vitu vizuri kama chakula na vinywaji pamoja,lakini kwa mapenzi Mungu alimuumbia Adamu mke mmoja tu Hawa, an the opposite is true,so kinachotukasirisha pale sio mazoea bali ni nature tulliyoumbiwa na Mungu,ikiwa nature yetu ingekuwa ni kushare mapenzi basi mbona ingkuwa burudani tu unamwona kipenzi ana show love :mwaaah: :mwaaah: :mwaaah: kwa mtu mwingine afu unachukulia poa then life goes on,ila kwa kuwa sio nature mpenzi akionyesha love :mwaaah: :mwaaah: :mwaaah: kwa mtu pembeni patachimbika aiseeeee :A S angry: :A S angry: :A S angry:,hope nimejibu swali lako mkuu Eiyer its all about nature and not mazoea.
 
Last edited by a moderator:
Kwanini unahisi?

mkuu nimejaribu kwanini umetafakari kitu kama hiki...kwanza ni cha muhimu kujaridiliwa na jinsia zote...mkuu Eiyersiamini kama unaweza kubeba fikira za wengine ili tuchangie.kwhiyo hii tafakuri imetoka kwenye ubongo wako..
swali likiwa ni kwann niseme unapenda no 1 na si no.2 jibu langu ni kuwa,kwa jinsi ninavyoonaga comments zako..you are smart enough to masterbate,kwa logical thinker hawezi kuwa na kimada na mke at the same time..lakini mke na puchu it is possible
 

Hahaha....
Unajua nini mpendwa, namna hormones zitendavyo kazi kwa mwanaume na mwanamke ni tofauti.
Wakati kwa mwanamke namna yake ya kupata ushawahi wa ngono hutegemea sana 'emotions'...
Kwa mwanaume ni zaidi ya 'emotions', yaani lazima kuwepo na 'physical factors'...
Ndio maana sisi wanaume wengi huingia kirahisi kwenye matamanio ya kingono kuliko ninyi...
Hivyo usishangae sana hizo excuses. ..
 
Last edited by a moderator:
to mi yote hayafai sbb..1 ni dhambi..2 nipo kwa ajili yake sioni sbb ya yy kufanya hivyo....narudisha swali kwako mtoa mada/wanaume..1 kwnn ajichue wakati mi nipo?..2 kwann anisaliti wakati mi nipo/nampenda?
wakati mwingine mnakuwa busy na watoto badala ya aliyekuwezesha kupata mtoto, na tabia zenu za kutingisha kibiriti zinatufanya tupate cha pembeni na kitamu hicho!, wacha we
 
Bora apige nyeto, maana nyetu haileti magonjwa nyumbani, nyeto haiihitaji hela ya saluni, nyeto haibebi mimba, hivyo basi hamna watoto nje ya ndoa, nyeto haihitaji hela ya matumizi, hivyo basi tutaendelea kusave na kuboresha familia

Yaani unafurahia apige nyeto, na wewe ukiwa wapi? Yaani hilo swali ni mwiba kwa wanawake...sababu ya kufanya hayo mambo yote ni uchoyo, kiburi, majibu mabovu, kutokujali kwa akina dada na akina mama ambao wako katika mahusiano na hawa walengwa.

Ofcourse kuna baadhi ya wapiga nyeto na wanaokuwa na wanawake wa nje huwa hawana dawa...Hata uwape nini wataendekeza tu malibeneke...
 

So what are you trying to say here?
 
So what are you trying to say here?

NYETO ndio mkombozi wa wanaume,hakuna kufumaniwa,low cost(soap),utakuwa less addicted kwa wanawake kwahiyo utapiga kazi zaidi=more money with less stress.
NOMA NI MKEO AKUDAKE UNAIPIGA
 

mkuu bonna ktk swala hili halihitaji utetezi na km kuna ulazima wa huo utetezi its means tumepeana go ahed kuwa na mpango wa kando incase likitokea la kutokea tunajitoshelezaga juu kwa juu,
kwa mawazo yangu binafsi siamin km sex ni kipimo toshelevu cha kumridhisha mpenzi wangu.
 
Bora aniambie mm muda wowote ule anaohitaji na sio kufanya hivyo vyote viwili
 
So sababu hizi kwako zinatosha kabisa kumruhusu ajichue....ok
Kwanini umechagua hii badala ya ile nyingine?
hzo ni kati ya sababu zangu maalum ambazo naweza kumruhusu ajichue......kulingana na swali lako umetupa tuchague kati ya hizo mbili tu.....na kwangu nachagua ya kujichua......
 
Ingawa yaweza haribu misuli ya uume na kumletea matatizo ya kisaikolojia na physiologia na mwisho kupunguza ladha ya tendo la ndoa kwetu sote.

Kwangu mimi, afanye mazoezi na aiachie asili (wet dreams) kuliko nyeto na mpango wa kando.

hapo unamzungumzia mwanaume wa umri gani dada yangu?
 
Niulize ufahamu wako juu ya hili. Wanawake walioolewa hawajichui?
Na ukigundua mwenza wako huwa anajichua (bila kukushirikisha) utaona kama anakucheat sawa na angelaka na mwanaume mwingine?


bora nikufumanie unanyetuka kuliko unaliwa..........

wangu nimemnunulia dildo kabisa
 
Je ni kipi bora na kwanini? Au hakuna kilicho bora na kwanini?

Mumeo/mpenzi wako ajichue

Au

Akusaliti na mwanamke mwingine?

Mkuu, sijui umewaza nini kuuliza hili swali, si jepesi!
 
hilo swali labda ungeliboresha zaidi kwa kuanza mi nikiwa safarini halafu ye kabaki home alone. maana kama wote tupo then ye akijichua na akaridhika, what about me? nani anamaliza shida zangu? hiyo nr 2 haikubaliki, hata kama nimemnyima papuchi sitaki kusikia ananisaliti
 
wakati mwingine mnakuwa busy na watoto badala ya aliyekuwezesha kupata mtoto, na tabia zenu za kutingisha kibiriti zinatufanya tupate cha pembeni na kitamu hicho!, wacha we
...sio kweli wengine hulka tu....mi wangu hatatoka nje eti
 
yuko jirani yetu hapa siku zote mkewe anatoka kwenda kwa rafikiri yake wa kike, nguo wanvaa pamoja kula wanapishana mpaka kupika walikuwa wakipika pamoja jamaa machale yamemcheza ameoa mke wa pili rafiki wa mkewe ili tu kuwakaribisha marafiki ku share kila kitu ndipo ugomvi uliponuka mpaka leo hawaulizani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…