Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Ha ha ha utasubiri sana basi...Hahaha...nasubiri jibu lako, na hapa sibanduki hadi wewe ujibu.
to mi yote hayafai sbb..1 ni dhambi
..2 nipo kwa ajili yake sioni sbb ya yy kufanya hivyo.
...narudisha swali kwako mtoa mada/wanaume
..1 kwnn ajichue wakati mi nipo?
..2 kwann anisaliti wakati mi nipo/nampenda?
Channel 10, kilicho bora zaidi
ngumu kumesa aisee... Yote yana maswal tata ndani yake..
1. Kwanini ajichue? Simtoshelezi ama?
2. Kwanini anisaliti? Hanipend au
wengine hujichuwa kwa kukosa mchezo kwa muda mrefu inayotokana na mwanamke eti kumkomesha kwanini hakukupa pesa ya kununua viatu
wako wanawake hutowa mara moja kwa mwezi nao hawa tuwafanyaje? nae eti anajiita ni mke wa mtu
waswahili wanasema bustani ya jirani wakati wote iko green
Nyeto haina miguu mizuri, kiuno kizuri, midomo mizuri. Ni low cost but not sio damu kama mizigo ya ukweliBora apige nyeto, maana nyetu haileti magonjwa nyumbani, nyeto haiihitaji hela ya saluni, nyeto haibebi mimba, hivyo basi hamna watoto nje ya ndoa, nyeto haihitaji hela ya matumizi, hivyo basi tutaendelea kusave na kuboresha familia
Hicho ulichoniuliza badili neno Mungu kwenda shetani.na ndio maana staki maswali umelitaja jina la muumba pasipo sababu,mchana mwema ndungu yangu ktk jf
sa mi si nipo kwani kisa cha kuwa pamoja ni nini!!!!!!!!!!!
.............................niko njiani naja......
kikawaida punyeto huendana na kuwazia kuwa unamake love na mtu fulani,kwa hiyo muda huo huyo mume anapiga punyeto anawazia anamake love na nani?je ni wewe mkewe?kama ni wewe mkewe kwa nini basi asiifanye iwe for real?
kama wewe upo na haifanyi for real na wewe basi it's obvius ana fantasize na mdada mwingine,jambo ambalo tayari ni usaliti umefanyika,kwa hiyo mkuu Eiyer nafikiri zote mbili ni mbaya coz zote zininausaliti ndani yake.
bora ajichue tu.....napo iwe kwa sababu maalum labda tuko mbali na siwezi kumtimizia haja ya mwili wake...au kuna sababu nyingine ya kiafya siwezi kumuhudumia basi ni bora ajichue......
ngumu kumesa aisee... yote yana maswal tata ndani yake..
1. kwanini ajichue? simtoshelezi ama?
2. kwanini anisaliti? hanipend au
Nimeipenda watu8 ila kwa nini asivumilie tu na kungoja upone huo uzazi? Mbona mwasafiri hata miezi miwili na zaid twawangoja na kuwasubili? Ebu kuweni na utu na uvumilivu pia kama wanawake.1. Umetoka kujifungua na huwezi kungonoka...
2. Una mshono wa operation...
n.k
Je ni kipi bora na kwanini? Au hakuna kilicho bora na kwanini?
Mumeo/mpenzi wako ajichue
Au
Akusaliti na mwanamke mwingine?
definitely option 1 🙂Niulize ufahamu wako juu ya hili. Wanawake walioolewa hawajichui?
Na ukigundua mwenza wako huwa anajichua (bila kukushirikisha) utaona kama anakucheat sawa na angelaka na mwanaume mwingine?