Swali kwa Wanawake

unalifuta vumbi halafu uanendelea kulishughulikia... au vepe?

...vumbi linaletesha mafua, kifua na hata pumu! shida yote ya nini hiyo sasa! ...acha 'ende-sake' tu aisee!
 
...vumbi linaletesha mafua, kifua na hata pumu! shida yote ya nini hiyo sasa! ...acha 'ende-sake' tu aisee!

...msee unajua ile kitu sometimes ni kosa ya jinai kuiwacha itokomee.
unajivisha mabomu halafu unajilipua nayo au vepe?
 
...msee unajua ile kitu sometimes ni kosa ya jinai kuiwacha itokomee.
unajivisha mabomu halafu unajilipua nayo au vepe?

...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ dah, mazee umeikomalia kweli ile kitu... upo tayari kujitolea mhanga nayo? ha ha haa... nishajisemea; 'sizitaki mbichi hizo!'
 
kama shubiri ni tamu asali ina ladha gani?
kama ile kitu ipo kwenye uwezo wa meno kutafuna wacha iliwe tu
 
aaaahh, bwana we mambo mengine tafuta magazeti ya udaku usituharibie kazi zetu sisi wengine ni waadilifu na tunafuata maadili yetu ya kazi na tuna muogopa mungu, hatufanyagi upuzi kama huo,
 
Pole
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…