Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,315
- 46,859
Naimani warembo wa JF mko poa..
Naombeni mnisaidie kitu kimoja
Najua matumizi ya sanitary pads(taulo za kike) kwa ajili ya kujisitiri kipindi cha hedhi yamezoeleka.
Naombeni mnisaidie kitu kimoja
Najua matumizi ya sanitary pads(taulo za kike) kwa ajili ya kujisitiri kipindi cha hedhi yamezoeleka.
Sanitary pads(Taulo za hedhi)
Hivi kuna wanawake Tanzania ambao wanatumia Tampons au Menstrual Cup kipindi wakiwa kwenye Menstruation?
Menstrual Cup(kushoto) na Tampon(kulia)