Siku hizi mkuu Hawa wanawake wameshaona kutongozwa ni kitega uchumi ukimtongoza tu Happ Happ kiznga kizito kinakuja, wanawake wenye mapenzi ya kwel ni wamasai tu, maana hawana makuu, wenyewe wanavaa zao shuka tu wanaridhika na maisha yanaendawana jukwaa
hivi nyie wanawake mkitongozwa na mkakubali mnachuka muda gani kuanza kuomba pesa? au tuseme kunyenga au kuhonga
kuna mdada kumu kanisikitisha sana kwa kweli ata kama hali ya magu tete lakini sio kwa staili ile aliyokuja nayo.. duu!
ndio maaana nauliza hili swali kwa hapa labda siku hizi utaratibu umebadilika kwenye swala la kuhongwa
ebu tujuzane mnachukua muda gani kuanza kuomba hela baada ya kutongozwa
Hahahaaa!! Kumwambia asitoe ni kosa la jinai[emoji85] [emoji85] [emoji85]huyo kapigwa kizinga na hataki kutoa hela
anakuja jf kutafuta huruma zetu we mfariji tu
mwambie asimpe kabisa
umenichekesha mdau! kweli wamasai ndio wana mapenzi yakweli wanavaa mashuka yao na kichwani unakuta kipara kimetulia habari za kwenda saluni hakuna hapoSiku hizi mkuu Hawa wanawake wameshaona kutongozwa ni kitega uchumi ukimtongoza tu Happ Happ kiznga kizito kinakuja, wanawake wenye mapenzi ya kwel ni wamasai tu, maana hawana makuu, wenyewe wanavaa zao shuka tu wanaridhika na maisha yanaenda
Sent using Jamii Forums mobile app
aaa sana tuHahahaaa!! Kumwambia asitoe ni kosa la jinai[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Spidi yko kali sana Jose akae vzr mm fan wko nakufatilia sana!lakini cha ajabu watakao jibu ni wanaume sijui tuna nini
ukiona meseji kama hiyo unaijibu "niambie iko kitu lakini zisiwe habari za hela kwasababu mimi sina hela" alafu unamalizia na I LOVE YOUAkishaanza kukwambiya BABY NIKWAMBIYE KITU? wewe zima SIMU,,, kinachofuata ni KIZINGA
Sent using Jamii Forums mobile app
ukiona meseji kama hiyo unaijibu "niambie iko kitu lakini zisiwe habari za hela kwasababu mimi sina hela" alafu unamalizia na I LOVE YOU
walai utayaoga matusi yote unayoyajua na usiyoyajua
Duuh kama meseji za malipo DawascoPale tu unapoanza kutongoza na pesa naomba hapo hapo.
nimekuelewa sana, kila mwanamke anapenda kuona anapewa suppport na mtu wake financial au kwa namna nyingine na ni kazi ya mwaname kumsupport mwanamke waketorvic achana na mambo ya kupoteza points, kosa ni lako unasubirije mpaka uombwe? wewe ulitakiwa umpe kila mwanamke anapenda mwanaume anayemsupport kifancial, pengine wewe kakuona mkono wa birika dada wa watu kajilipua.
Labda kama hukuwa na malengo nae.
hapo upo sahihi amu, inawezeka ilikuwa ni gia tu kukataa na pia inawezeka alikuwa kiakazi zaidi.. toa pesa nikupe nitembee, hakuna muda wa kupotezatorvic pengine hakutaki kaona akukatae kwa gia hiyo nami nlitaka kukushangaa jinsi wanaume mnavyopenda kutoboka dhidi ya mwanamke unayempenda, hapo hamjapendana uamuzi ni wako