Swali kwa wanawake tu!

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
492
Je, ni vigezo vipi unavyosimamia wewe au unavyovyotaka awe navyo mwanaume pindi unapotaka kuingia kwenye mahusiano na mpenzi wako mpya?
 
Hofu ya Mungu. Binadamu yeyote asiemuogopa Mungu hafai, anaweza kufanya lolote. Hiyo ni namba moja. Mengine meengi sana ila awe na akili. Mtu mwenye akili anakuwa very romantic na anafaa kwa matumizi ya binaadamu. Sasa akili itadhihirika kwenye jinsi anavyohandle mambo yake, anavyokuhandle wewe, ndugu zako na ndugu zake.
 
Hii hutegemea sana na nia ya kuingia kwenye mahusiano hayo. Jinsi unavyochambua hitaji la mwanamme wa muda mfupi ni tofauti na hitaji la muda mrefu.

Mwanamme wa muda mfupi awe vyovyote as long as ni entertainer, discret, a bit loyal na uaminifu kiasi. Akiwa na pesa ni bonus, starehe gharama.

Mwanamme wa kudumu naye awe mwenye akili timamu, tena za kiume. Na preffered awe wa imani sawa.
Awe mtu wa kujituma kuwajibika asiyesubiri kusukumwa, huyu jitihatada ni mandatory, familia haijengwi kwa maneno tu.
 
Mbona washafungukaga sana tu humu. Ni iv wanapenda awe mrefu, mwenye six paki, awe ana hela za kutosha, awe bad boy/mtundu sio mpole wala mkimya, awe ana fikisi/muongo nyingine awe na hofu na Mungu hapa kwenye hofu huwa sielewi wanamanisha nini mkuu ngoja mengine watukuja kuendeleza mie nimesahau!!
 

Unatisha kijana, yaonekana sasa umeanza kujitambua tofauti na huko nyuma! big up. HAYA TUENDELEZE MADA.
 
KONGOSHO, Kama kawa wewe ni mama wa kufunda. Jumapili njema nakutakia japo umeshindwa kwenda kusali, kisa! mvua.
 
Du... hapa kuna mafuriko, sijui ntapitaje!!!... Napita tu mkuu...
 

well, kumbe....
 
Awe mkweli mwaminifu na mwenye kujielewa, anajali pande zote mtafutaji wa kweli hayo mengine ni ziada. Kama yupo aje haaaaa
 
..kwani ulitumia vigezo gani kumpata wa zamani?
 
Theoretically Love doesn't ask why...ila practically pesa ni priority...
 
Je, ni vigezo vipi unavyosimamia wewe au unavyovyotaka awe navyo mwanaume pindi unapotaka kuingia kwenye mahusiano na mpenzi wako mpya?

Awe mwanaume halisi mwenye sifa za uanaume rijali. Awe na hofu ya Mungu na ajue kusimamia imani yake na si wakunyumbishwanyumbishwa,awe na uwezo wa kumlea mke na kumpa haki yake ipasavyo,ajue majukumu ya familia inavyotakikana,asiwe mvivu wa kusaka maendeleo kwa njia huru na halali,ampende mkewe kama ajipendavyo yeye kiasi asichopenda kutendewa naye asimtendee mwenzake,awe na mwili unaoendana na yeye,awe mjanja kitandani na asiwe na kinyaa ktk eneo hilo,asiwe anatumika au anamtumia mke kinyume na maumbileee,awe anajua nini thamani ya mke na penzi,awe msafi,asiwe mvivu au mwenye hofu ya kumsaidia mke kazi za nyumbani pindi awapo coz uenda nyote n wafanyakazi so mkrud om uwee ni kukamata rimont tuu na kusubria,Awe anaheshima kwa mkubwa na mdogo na sidharau upande wa mke na awapende! Kwa ufupi ni hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…