Yule ambae anatoa chozi na kunililia kwa uchungu na yupo tayari kufa juu yangu lol
Akifa juu yako si utabaki mjane?
ndo mapenzi ya dhati...:majani7: mtu awe tayari hata ajitoe muhaga uhai wake for the sake of love ha ha ha...Atakufa shujaa lol
Wote wasanii, mapenzi hayana fomula. Ukiona mtu ana-apply Area of a circle = Pai * Radius skwea kimbia fasta.
Swali kwa Wanawake tu.
Je Mwanaume yupi mwenye mapenzi ya dhati kati ya Hawa wa 2.
Mwanaume ambaye yupo tayari kukuhonga kila kitu alichokuwa nacho na yeye kubaki fukara kabisa huku akikubembeleza usimuache Au
Yule ambaye anatoa chozi lake juu yako na kukulilia kwa uchungu huku akikubembeleza usimuache?