Swali kwa wanawake TU! Nasisitiza

Swali kwa wanawake TU! Nasisitiza

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
2,360
Reaction score
2,275
Hivi wewe mwanamke au binti, ambaye umeolewa au upo kwenye mahusiano:

Hivi wewe ikitokea mumeo anataka kukuua na anakupiga kiasi cha kutaka kuutoa uhai wako, je, utajiteteaje?

Ni sehemu ipi ya mwili wake akikaa vibaya utashughulika nayo ili kujiokoa?

Karibuni! Wanawake tu tafadhali!
 
Hata ulichoandika mwenyewe hujitambui... kwenye maelezo yako umetamka kujinasua na sio kuua. Unaonekana abuser wewe, unafaidika nini kupiga mwanamke?
Mimi sio abuser! Usiseme kupiga wanawake, sema kumpiga mkeo akikukosea kosa listahililo kipigo. Ni kawaida na si ajabu, hata matajiri hupiga wake zao wakikosewa.
 
Ubaya ubayani itajulikana hapo hapo
Af kuita wake zetu humu kwa siri staki! nimeoma michepuko yangu tayari imo! ok! yaani huo, ubaya! ubaya wa mwanamke utacheeka mpaka ujambe pwiii! pwii! vinakuwaga km visanii flani hivi.....

Ka-mwanamke kakiwa na vimiguu vilaini kama wewe ivi! kataanzia wapi kwanza kupiga dume la simba? kupiga kwenyewe nakaruhusu kaje kanipige tuuu! kanavotaka, hata kuniua hakawezi, katanitia genye tu! labda kwa sumu!

kukimbia kwenyewe hawawezi, Vitako, maziwa vimewalemea.
mazoezi hawana! hata watoto wao wanatokaga nduki, wanapokataa kuoga jioni, utachekaa! ...lkn sasa baba likiwepo weee! ukikimbia tu liko na wewe!

kwanza ke wote tunawazidiga umri! km miaka 5 kwenda mbele huko! vidogooo, laini mnooo, kwetu hawajakomaa kiasi cha kutuumiza! unakafinyanga finyanga tu, halafu una kabusu kwa hasira! unakula mbususu palepale! kakiwa nje unakabeba ndani! unakalaza!

kama ke ni mkakasi atakupiga na dekio mlowano! anaona amekukomoa kweli!!..... jamani sasa! au anakurushia maji ya shombo la samaki akidhani eti utakufa! Loool! saana atanitia mshawasha! mleta mada weye ni mzanzbari Kwani?

mie kanipige tu! wala hata usikimbie mrembo wangu ndo kwaaanza nakuletea miji sato ya Mwanza uleee ujambe kisawasawa tena nachuma fimbo mwenyewe kabisaa nakupa! hata kupiga ke hamjuagi
 
Back
Top Bottom