Swali kwa wanaume

Maskini ndo wananuna sanasana karne hii....
 
^^
Inategemea, kuna akina mimi hapa, ukikataa mi najua akunyimae mkopo amekupunguzia deni
^^
 

Mi nadhani kama "wadada" wangekua wanazisema hizo sababu waziwazi na mapema wasingekua wananuniwa!! Lakini unakuta mtu anapewa moyo kwa mudaaaa halafu Ghafla anaambiwa NO.
 

Nimekukubali dada, wewe utakua muwekezaji.
 

baelezeee bana
 

Me naona haina haja. Ukinichomolea poa tu nasonga mbele, yanini kusumbuka na viumbe vilivyojaa duniani. Ila usitegemee kutakuwa na mda wa kuhang out kama awali. Hapo lazima nikupotezee, salamu inatosha halafu tunapishana njiani kila mtu na yake. Sasa ukihisi nimekununia shauri ako! Ila sijui kama kuna mtu anafurahia kutoswa?
 
You are very right Mkuu, Though our lives are full of risk (in layman's language Risk sums to likelihood of getting unwanted results) so apart from investments, all other involves risks as well. (kukataliwa, magonjwa, kufa, kukamatwa etc)

If you can't take Risk then your not a good investor.....
 

Ushatoka songea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…