swali kwa wanaume gani? Maana mimi sijawahi kukataliwa labda kuwakataa Wanawake wanaonitongoza hata wikiendi hii kuna mdada anafanya kazi bank hapa mjini nimemwambia aniache tiyari nina mpenzi wangu yeye hataki kunielewa anasema yupo tiyari kushare na mimi simtaki ingawa kuna baadhi ya vidume vinamlia timing anawachomolea!!
Achana nao wanune, wavimbe, wapasuke wanakupunguza nini kwani.....???
Kwani we unatakajeee! Utunyime tukuchekee. Bifu bifu tu.
Nikanyage bahati mbaya nikuzabue makusudi!
swali kwa wanaume gani? Maana mimi sijawahi kukataliwa labda kuwakataa Wanawake wanaonitongoza hata wikiendi hii kuna mdada anafanya kazi bank hapa mjini nimemwambia aniache tiyari nina mpenzi wangu yeye hataki kunielewa anasema yupo tiyari kushare na mimi simtaki ingawa kuna baadhi ya vidume vinamlia timing anawachomolea!!
Hivi ni kwanini baadhi ya wanaume wakikutaka ukiwakatalia wanakununia na kuweka bifu?
Kwamimi naimani ukitongoza utegemee YES or NO (si kila unayemtongoza akubali)
Pia huwezi jua yule unayemtongoza akakukatalia anakuepusha na nini kwani siri ya mtu ni kichaka Pengine anaugonjwa hapendi kukuambukiza, pengine anamahusiano na mtu unayemjua nk...
Sielewi kwanini huwa wengi wao wanakasirika ..
Samahanini labda mnafahamu ni kwanini

Wengine huwa wameshaliwa PESA zao na hao wanawake/madada,sasa anapokataliwa anakuwa na hasira na PESA zake na muda wake alivyoupoteza ukizingatia PESA zenyewe kapata kiugumu.Si unajua madada/wanawake wengi wanapenda OFA za lunch,vocha nk,lakini akiombwa papuchi ananza kunyima.Kwa nini ME asikasirike?
Pia waswahili husema kitu kizuri kula na mwenzio,kama wewe mdada unajiona mzuri kwa nini umnyime mwenzako ikiwa huna boy friend au mume? Wahurumieni hao wanaume ni watoto wa wanawake wenzenu.Mpendane..!!
Kinachowanunisha?! Si muumbe zenukwendaaa..loading error...