SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 4,800
- 8,989
Sawa naweka kwa sasa hivi tuoneHilo swali ungeliweka both kwa mwanaume na mwanamke. Je watakubali au lah.
Na hauna helaNi ngumu, haiwezekani
Ndioo kama hujajipanga kimaishaView attachment 3316194Wewe kwa akili zako zote mpaka umri uliofikia leo wa kuweza ku-type Jamiiforums unaona hilo likiwezekana?
Huna hela yakusupport familia yako kama mwanaume anatokea mke watajiri anawapa offer ya mke wako kuwa hawara wamume wake nakumpa kila atakacho maana huyo mke watajiri yupo busy kwa kazi hana time yakufanya mapenzi na mumewe .
Na mkataba unasema ni ml 5 kwa kila mwezi mkeo ahamie kwa jamaa sasa utakubali au ukatae . Kama mwanaume utakubali maana faida ya huo mkataba ni kupewa kila mnachotaka ambacho wao wamepima nakuona watamudu .
KAma kodi, chakula , mavazi , vacation na allowance ambayo ni ml 5 kwa mwezi . Hata kujenga wanaweza wawajengee
Sasa utakubali au lah
Sawa ila haya maisha lazima mmoja atakubaliHata kama ni Ugumu wa maisha ila usifanye tuondoe utu, hicho kitendo siyo fair🤔
Kama vipi nawe nenda naye mkaishi hapo wote mkeo analiwa na lijamaa halafu wewe unawafulia mashuka kabisa!Huna hela yakusupport familia yako kama mwanaume anatokea mke watajiri anawapa offer ya mke wako kuwa hawara wamume wake nakumpa kila atakacho maana huyo mke watajiri yupo busy kwa kazi hana time yakufanya mapenzi na mumewe .
Na mkataba unasema ni ml 5 kwa kila mwezi mkeo ahamie kwa jamaa sasa utakubali au ukatae . Kama mwanaume utakubali maana faida ya huo mkataba ni kupewa kila mnachotaka ambacho wao wamepima nakuona watamudu .
KAma kodi, chakula , mavazi , vacation na allowance ambayo ni ml 5 kwa mwezi . Hata kujenga wanaweza wawajengee
Sasa utakubali au lah
Kama tuu skuiz wanaume wanafirwa kisa pesa, wanauza matako kisa pesa Yani skuizi ngoma droo hamna Cha mwanamke Wala mwanaume, wote tuna sokoHuna hela yakusupport familia yako kama mwanaume anatokea mke watajiri anawapa offer ya mke wako kuwa hawara wamume wake nakumpa kila atakacho maana huyo mke watajiri yupo busy kwa kazi hana time yakufanya mapenzi na mumewe .
Na mkataba unasema ni ml 5 kwa kila mwezi mkeo ahamie kwa jamaa sasa utakubali au ukatae . Kama mwanaume utakubali maana faida ya huo mkataba ni kupewa kila mnachotaka ambacho wao wamepima nakuona watamudu .
KAma kodi, chakula , mavazi , vacation na allowance ambayo ni ml 5 kwa mwezi . Hata kujenga wanaweza wawajengee
Sasa utakubali au lah
Wanawake mbona mko wengi? Namwachia mke wangu-hata kama ni wewe- halafu natumia hiyo pesa kuoa mwingineHuna hela yakusupport familia yako kama mwanaume anatokea mke watajiri anawapa offer ya mke wako kuwa hawara wamume wake nakumpa kila atakacho maana huyo mke watajiri yupo busy kwa kazi hana time yakufanya mapenzi na mumewe .
Na mkataba unasema ni ml 5 kwa kila mwezi mkeo ahamie kwa jamaa sasa utakubali au ukatae . Kama mwanaume utakubali maana faida ya huo mkataba ni kupewa kila mnachotaka ambacho wao wamepima nakuona watamudu .
KAma kodi, chakula , mavazi , vacation na allowance ambayo ni ml 5 kwa mwezi . Hata kujenga wanaweza wawajengee
Sasa utakubali au lah
Akili za kimalaya huwa zina mwisho mbaya sana. Ukizilea taratibu utajikuta kwenye shimo.Huna hela yakusupport familia yako kama mwanaume anatokea mke watajiri anawapa offer ya mke wako kuwa hawara wamume wake nakumpa kila atakacho maana huyo mke watajiri yupo busy kwa kazi hana time yakufanya mapenzi na mumewe .