Swali kwa wanaume wote wenye mke mmoja

Wanaume mliooa mke mmoja ikifikia wake zenu wamejifungua au wana ugonjwa wa muda mrefu na wito wa asili wa kufanya tendo landoa ukija mnafanyaje?
Imeandikwa nitakupenda ktk shida naraha .
Ukisikia shida ndo izo !! .

Mwanamme makini lazima ujitambue nalazima ujue upendo upo wanje (ambao huu unahusisha mambo yoteee yakuonyeshana mnapendana bila sex)

Naupendo wa ndani ambao unajumuisha sex.

A really man atahamia katika upendo wa nje naambao (most of ladies wanapenda).
 
Unasubiri Amikaliza 40 tu unagonga haina shida na mtoto anakua poa tu, mtoto wa halali azuriki na shawaha za baba, yaani mimi my wife alivyomaliza 40 tuu nilikuwa namkanyaga tuu na freshh mtoto now anatembea
 
Pia mzingatie usafi, soon after muende kuoga.
 
Mke akijifungua na wewe ukawa umejiweka kwenye hali ya uzazi yaani kumlea mtoto kwa pamoja toka akiwa mchanga maana yake akilia usiku na wewe uamke kumnyamazisha na kujumlisha na majukumu ya mchana kutwa mwili utachoka tu hilo wazo litakosa nguvu kuliko ukawa hauko bize basi akili yote huamia kichwa cha chini
Hahahahahaaa!!!!! 'Akili yote huamia kichwa cha chini' sawa bro!
 
Mke akijifungua na wewe ukawa umejiweka kwenye hali ya uzazi yaani kumlea mtoto kwa pamoja toka akiwa mchanga maana yake akilia usiku na wewe uamke kumnyamazisha na kujumlisha na majukumu ya mchana kutwa mwili utachoka tu hilo wazo litakosa nguvu kuliko ukawa hauko bize basi akili yote huamia kichwa cha chini
Wanaume mupo wachache sana mnaojua majukumu ya kwenu,mkeo na familia kwa ujumla. Hongera kaka
 
Punyeto husaidia sana

Hakika nakuambieni
Bao moja la punyeto ni tamu zaidi ya mabao 3 ukiwa na mwanamke

Hutajutia,
 
Wanaume mliooa mke mmoja ikifikia wake zenu wamejifungua au wana ugonjwa wa muda mrefu na wito wa asili wa kufanya tendo landoa ukija mnafanyaje?
Kama utamjali mwenzi wako ukawa pamoja naye kihisia, utaji-tune kisaikolojia hiyo hali haitakusumbua. Pia uwe busy.
 
Inategemea kwenye moyo wako umejaza nini. Kama umejaza uzinzi, hata kama mke wako ni mzima wa afya, utamtoroka tu na kwenda nje kutafuta mchepuo.
 
Wanaume mliooa mke mmoja ikifikia wake zenu wamejifungua au wana ugonjwa wa muda mrefu na wito wa asili wa kufanya tendo landoa ukija mnafanyaje?
Ina maana wewe huna mambo ya kufanya zaidi ya ngono tu? Tambua kuwa ngono ni suala la kisaikolojia zaidi, ukiwaza sana ngono akili yako itakuwa haina matunda na inahamia kwenye ngono.

Vv
 
Back
Top Bottom