Swali kwa wanaume walio kwenye ndoa

Mkuu kumbuka wife alikusindikiza adi uwanja wa ndege kabisa na ndege ulotarajia kwenda nayo ndo hiyo ishapotea..

isome vizuri comment yangu, 'nilienda Kenya instead of Malaysia' siku ile ile ya safari.
 
Ila kwa wanawake makini kama mimi utanieleza vzr haswa ukiwa nakujua vyema kuwa si mnunuaji zawadi wala surprises sio style yako

ndio maana inaitwa "surprise", its unexpected, hufanywa na mtu yeyote iwe ni tabia yake ama la. Anaweza kufanya hivyo ili akuombe msamaha, au ameamua tu akuzawadie kitu, surprise haina vigezo, ndio maana ikaitwa surprise, maana ya hilo neno inajitosheleza kabisa.
Hata pipi ni surprise, hata mke wangu akiniona nipo hai ingalikuwa ndege imepotea hiyo pia ni surprise ya namna yake.
 
Ningetulia nyumba ndogo hadi ndege itakapoonekana!
 
Mkuu kumbuka wife alikusindikiza adi uwanja wa ndege kabisa na ndege ulotarajia kwenda nayo ndo hiyo ishapotea..

Uwanja wa ndege sio mpaka kwenye boarding gate kama ilivyo ubungo unasindikizwa mpaka kwenye seat ya bus, mbona mara nyingi kuna abiria wanaachwa airport kwa sababu moja au nyingine? mfano kuchelewa kuboard, sometimes unaambiwa kulikuwa na makosa katika seat yako kulikuwa na double booking hivo unatafutiwa ndege ingine? cha msingi uweze kujipretend kuwa innocent
 

Swali lingekuwa neutral kama ungesema kwa walio kwenye ndoa kwani hujui 50:50 hata akina mama wanamichepuko siku hizi
 
Kama my wife wangu ni kisirani ndo bye bye nahamia kwa mchepuko wangu rasmi
 
hawezi kuweka msiba bila kuwa na uhakika. atakwenda airline na watamwambia haukuwepo kwenye ndege wala kwenye list ya abiria. atajua umechepuka. NDEGE SIO KAMA BASI LA MOROGORO KUNA RECORDS.

Upo sawa 100%
 
Ingekuaje sasa kunabaadhi ya abiria ulipanda nao na kweli wamepotea..
Hapa tunaongelea mathalani si ndio hivyo

Mimi ningejifanya ile nafika tu geti likawa limefungwa tayari, katika kuwaomba omba wakanisaidia kuniunganisha na bomba jingine ikabidi nilale hoteli kwa gharama za kampuni ya ndege ili siku inayofuata ndio nianze safari

Sababu ni uongo inabidi utafute uongo unaofanana na ukweli
 
nitaomba nioneshwe tiketi za safari
 
Niliipata hii sms jana kwenye simu, nikaishia kucheka tu
Nadhani hapo ni kurudi home lkn kwa usalama usiende peke yako, nenda kwa padri uungame then uende na padri hadi home, nadhani ndo mambo yatakuwa salama
 
Ningejitokeza na kujidai nilijitosa nje nilipoona rubani kapoteza ramani. bahati nzuri nimedondokea baharini pembezoni. nikaogelea kufika ufukweni ndio nimerudi.
 
Kumbe wakati fulani dhambi inaweza kukuokoa, kweli nimeamini hata inzi ana faida pia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…