M Mazindu Msambule JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 7,508 Reaction score 6,891 Jun 4, 2018 #21 balibabambonahi said: Mzee wa KAKUMBA,vipi mauaji ya Albino Click to expand... Mkuu, ndio wapi tena huko!?
balibabambonahi said: Mzee wa KAKUMBA,vipi mauaji ya Albino Click to expand... Mkuu, ndio wapi tena huko!?
white hat JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 3,320 Reaction score 2,489 Jun 4, 2018 #22 PAZIA 3 said: Mbunge wa Geita vijijini hutumia mitandao ipi ya kijamii? maana nimefanya utafiti sijamuona twiter,Instagram,wala facebook Click to expand... Saguda47 said: Jidanganye! Jamaa ana bonge la iPhone Click to expand...
PAZIA 3 said: Mbunge wa Geita vijijini hutumia mitandao ipi ya kijamii? maana nimefanya utafiti sijamuona twiter,Instagram,wala facebook Click to expand... Saguda47 said: Jidanganye! Jamaa ana bonge la iPhone Click to expand...
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,700 Reaction score 15,436 Jun 4, 2018 #23 Mazindu Msambule said: Mkuu, ndio wapi tena huko!? Click to expand... Kakumba tamka /kaakumba/ilikuwa dhahabu feki iliyokuwa ikiuzwa na watoto wa Geita akina mh,na Geita iliongoza kwa mauaji ya albino 2015.
Mazindu Msambule said: Mkuu, ndio wapi tena huko!? Click to expand... Kakumba tamka /kaakumba/ilikuwa dhahabu feki iliyokuwa ikiuzwa na watoto wa Geita akina mh,na Geita iliongoza kwa mauaji ya albino 2015.
jmushi1 Platinum Member Joined Nov 2, 2007 Posts 26,381 Reaction score 25,476 Jun 4, 2018 #24 Ana mambo ya kizamani sana kama jina lake tu. Hata albino lazima ameuwa wengi sana! Wauwaji wa albino ni sampuli hii! Na hayo macho yake akizeeka asibakie mwenyewe maeneo ya huko usukumani.
Ana mambo ya kizamani sana kama jina lake tu. Hata albino lazima ameuwa wengi sana! Wauwaji wa albino ni sampuli hii! Na hayo macho yake akizeeka asibakie mwenyewe maeneo ya huko usukumani.
M Mazindu Msambule JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 7,508 Reaction score 6,891 Jun 5, 2018 #25 balibabambonahi said: Kakumba tamka /kaakumba/ilikuwa dhahabu feki iliyokuwa ikiuzwa na watoto wa Geita akina mh,na Geita iliongoza kwa mauaji ya albino 2015. Click to expand... Sawa mkuu, ngoja niangalie kwenye Atlas
balibabambonahi said: Kakumba tamka /kaakumba/ilikuwa dhahabu feki iliyokuwa ikiuzwa na watoto wa Geita akina mh,na Geita iliongoza kwa mauaji ya albino 2015. Click to expand... Sawa mkuu, ngoja niangalie kwenye Atlas
kasulamkombe JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 2,232 Reaction score 2,493 Jun 5, 2018 #27 masharti ya mganga yanazingatiwa.TV za sumbawanga yupo hewani