Swali kwa wanaomfahamu Msukuma MP

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Mbunge wa Geita vijijini hutumia mitandao ipi ya kijamii? maana nimefanya utafiti sijamuona twiter,Instagram,wala facebook
 
Yupo hapa kwa fake ID anasoma mjadala huu!
 
Mitandao ya jamii kwa wabunge wanafiki na wasiorudi majimboni mwao msukuma hahitaji maana yupo karibu nao
 
Hatumii smart phone wala computer..atawezaje kuwepo kwneye Mitandao ya kijamii ?
 
The only thing ambacho ni cha kisasa alichonacho Msukuma ni hiki, "Gari lake Landcruiser VX lina namba private, yaani plate number yake imeandikwa KING M" the rest of the modern things kwa Msukuma, hakuna. Simu yake tu imefungwa na rubber band, nokia Fulani hivi za kizamani nyingi nazionaga kwa watu wa M-pesa!
 
Kumbe yupo vizuri?
 
Mzee wa KAKUMBA,vipi mauaji ya Albino
 
anatumia youtube pekee yake...
nilishamkia akiiongelea bungeni
 
Mbunge wa Geita vijijini hutumia mitandao ipi ya kijamii? maana nimefanya utafiti sijamuona twiter,Instagram,wala facebook
Alishasemaga hana mitandao ya kijamii wala smatfone hajui kuitumia
 
Jidanganye! Jamaa ana bonge la iPhone
 
Alishakwambis ni darasa la saba, kuna vitu havipandi kwenye mitandao. Kumpata ni rahisi, Leo katika bunge, na U - Tube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…