Swali kwa wanaojua gesi za kupikia

Swali kwa wanaojua gesi za kupikia

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
1,583
Reaction score
1,800
Hamjambo wakuu. nina swali katika upikaji wa kutumia gas kuna njia mbili ya kwanza ni ile ya kutumia jiko mara nyingi yana sehemu mbili za kupikia halafu hayana kelele njia ya pili ni ile ya kuinjika sufuria kwenye kimtungi kidogo chenye figa la chuma na kuna kelele nyingi. swali langu ni njia ipi inatumia gas kwa kiasi kidogo zaidi? au ni njia ipi inasevu gas ?
 
Mkuu binafsi natumia mtungi mdogo MIHANI kwa muda wa mwezi mmoja na nusu.

Hiyo mingine sijawahi.
 
MIHAN gas inafaida kuu 2 : inatoa kilo 1.5 kwa saa yaan likiwa limewaka bila kuzimwa... Pili lina valve salama kukiwa na mlipuko Wa moto lina jiswitch off
 
Mkuu binafsi natumia mtungi mdogo MIHANI kwa muda wa mwezi mmoja na nusu.

Hiyo mingine sijawahi.
Mwezi 1na nusu bila shaka uko alone na sehemu kubwa ya Menu yako ni kwa akina mama lishe mjomba. Lkn unambie mtungi mdogo unatumia mwezi na nusu wakati unafamilia yako kwa maana ya Baba, Mama na katoto, thubutuuuu...!!!
 
mkuu nina familia na watoto 3 na mdogo wangu mmoja.

Ugali,Wali,Makande na Nyama tunapikia mkaa.

Gesi ni kwa ajili kupikia vitu laini na kipashia vyakula tu.
 
Back
Top Bottom